Ukizaa na mume wa mtu, mtoto ni wa kwako

Kuna wazee watakuambia katika maisha yako hakikisha unachanganya usikubali watoto wote wawe wa mama mmoja. Endapo ikitokea kuna matatizo ya kurithi upande wa huyo mama, au kuna laana fulani unaweza jikuta watoto wote wanaangamia. Ila hao ni wazee, sio mimi.
Za kuambiwa nimesha changanya na za kwangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi kuhusu haki ya mtoto kurithi jina la baba yake. Unless kama huyu baba (mume wa mtu) amemkataa mtoto kwa maneno vinginevyo huyo mtoto ana haki ya jina la baba yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
anakutishia tu, baki njia kuu anko huku michepukoni hakuna hata cha ziada
Ankoo siwezi kufanya hiyo kitu kabisa. Hata nikipanga niwe na kadada kadogodogo hata dakika kumi hazifiki nafumaniwa kwenye mtongozo.
Nina kigugumizi, nikijaribu kujitetea wife anasema atafunika ungo chini... Eti akifanya hivyo(sijui kweli?!) nitakufa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jazaneni ujinga tu ila hamjui madhara mnayoyasababisha. Mwanaume unaechepuka achilia mbali kuzaa na mkeo akatambua basi usijipe moyo kusema "amenisamehe".

Pia kitendo cha kuchepuka tu hata bila ya mwenzio kujua unainajisi ndoa yako mwenyewe na kuivunja kwa mikono yako mwenyewe. Usimtafute mchawi mambo yakivurugika.

Haya mafurushi, good morning.
Na wote tuseme amina
 
Tusichepuke kweli? Halafu endelea kutuita hivyo tu...
 
Back
Top Bottom