Ukizaa na mume wa mtu, mtoto ni wa kwako

Mim nilowahi kumrusha wife , kuwa nina mchepuko huko una ujauzito wangu ....wakati yeye hana hata mtoto ...alihangaika kubeba ujauzito ....ili mzani ubalance .....alikuwa mpole km piriton yaaani kaja kugundua sio nilikuwa namrusha akili imeshamkaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu nilikuwa na uhusiano naye, tulianza vizuri sana, baada ya miezi kadhaa, naona jamaa Yuko stressed muda wote, najiuliza nilicho misbehave kwake mpaka awe hivyo sikioni, nikimuuluza hana majibu......... Baadae ananiambia tufanye kila kinachowezekana nibebe mimba ili tuanze process nyingine (kuna kitu hakikuwa sawa Ila sikutoa ushirikiano maana nilikuwa nimesoma upepo). Nilimwambia tu kama ningetaka mtoto, ungekuta ninaye, lkn kwa sasa siko tayari, Mimi siyo incubator, kwamba nibebe, nilee mwisho wa siku unakuja kuchukua mtoto kiulaini!
Muda huo namchunguza kimya kimya (maana alikuwa ananichukulia poa, akihisi kuwa alivyo, hawezi kuchunguzwa). Nilichokiona, mpaka muda ule alikuwa na watoto 3, kila mmoja na mama yake, na wote aliwakuta ni single mothers, kipindi ananiambia nibembe mimba kumbe kuna mama mwingine anasubiri kujifungua mtoto mwingine muda wowote, kwa hiyo mtoto wa nne. Yote hayo alikuwa na diary ambayo huwa anaificha kwenye gari, na siku nimegusa alifahamu (ana alama zake, siwezi ongea sana) ila sikumuonesha reaction yoyote......... Nikawaza, Mimi mtoto wa baba, nasubiri na Mimi kuzaa mtoto wa tano?! Nikaamua kuachana naye, nilipata usumbufu mkubwa, lkn pia alilia, akasema hata yeye hapendi past yake, ila pia hawezi ibadilisha. Akaomba nimpe muda, na hataki kuzaa na Mimi bila commitment......... Tulifundishwa kuvumilia eti? The perfect man doesn't exist eti? Ukitaka mzuri mfungue kwa karatasi? Ndo ujinga uliokuja kichwani mwangu. Nikarudiana naye.
Mwezi X tukachukua likizo (imepita miaka, si niliamua kuvumilia?) Tuanze process, Mungu asante, siku kadhaa kabla ya likizo tuligombana ugomvi ambao siuelewi mpaka Leo. Tulikata mawasiliano, na nikawa nimeepuka hilo balaa. Naamini Mungu ananiwazia mema zaidi.........
Nimependa mwandiko wako, hongera sana, una uwezo mzuri wa kuelezea jambo.
 
Watoto ni watoto tu hakuna wa ndani wala nje,ni wewe baba msimamo wko ukiwa thabiti wataishi kwa maelewano bila ubaguzi
wanaume tungekuwa na aklili nzuri tungekuwa tunasubiri tu watoto wa ndoa yaani ukishachanganya nyumba hainaga amani kabisa na ukute unapenda watoto kama mimi yaani ukimleta nyumbani kila analofanyiwa na wife home utaona anaonewa maana abadan hawezi kupata malezi sawa na wa kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanaume tungekuwa na aklili nzuri tungekuwa tunasubiri tu watoto wa ndoa yaani ukishachanganya nyumba hainaga amani kabisa na ukute unapenda watoto kama mimi yaani ukimleta nyumbani kila analofanyiwa na wife home utaona anaonewa maana abadan hawezi kupata malezi sawa na wa kwake
Uzidi kuwa na akili
 
Back
Top Bottom