Ukizaa na mume wa mtu, mtoto ni wa kwako

Hii ya mtoto wa nje nilikua naangalia TV nikaona sheikh anaizungumzia

Kwa mtoto wa kike baba wa nje haruhusiwi hata kupokea mahari ya binti yake

MTC | 101|
 
wanaume tungekuwa na aklili nzuri tungekuwa tunasubiri tu watoto wa ndoa yaani ukishachanganya nyumba hainaga amani kabisa na ukute unapenda watoto kama mimi yaani ukimleta nyumbani kila analofanyiwa na wife home utaona anaonewa maana abadan hawezi kupata malezi sawa na wa kwake
Kweli kabisa Mkuu

Kuna wazee watakuambia katika maisha yako hakikisha unachanganya usikubali watoto wote wawe wa mama mmoja. Endapo ikitokea kuna matatizo ya kurithi upande wa huyo mama, au kuna laana fulani unaweza jikuta watoto wote wanaangamia. Ila hao ni wazee, sio mimi.
 
huo ni ushauri mmbovu sana unajitakia presha zisizo na msingi hutakaa na amani kabisa
 
Hahahaaa kuna kabila wanafanyaga hivyo lakini wao hawazai na michepuko-mabinti, wao wanazaa na mwanamke mwenye ndoa kabisaaa.
 
Japo hii inakujaga kuleta shida watoto wakikua. Hukawii kushangaa wanachumbiana na vile damu ni nzito kuliko maji. Kuna wakati unaweza kushangaa kwanini mzazi (baba au mama) anapinga sana usioe/olewe na mtu fulani.. kumbe ni ndugu yako!
 
Watoto wakishakua wanaambiwaga mkuu. Na wakaambiwa kabisa hii ni siri kuu
 
Kuna wazee watakuambia katika maisha yako hakikisha unachanganya usikubali watoto wote wawe wa mama mmoja. Endapo ikitokea kuna matatizo ya kurithi upande wa huyo mama, au kuna laana fulani unaweza jikuta watoto wote wanaangamia. Ila hao ni wazee, sio mimi.
Kumbe kuna madarasa kabisa mnapewa
 
Jazaneni ujinga tu ila hamjui madhara mnayoyasababisha. Mwanaume unaechepuka achilia mbali kuzaa na mkeo akatambua basi usijipe moyo kusema "amenisamehe".

Pia kitendo cha kuchepuka tu hata bila ya mwenzio kujua unainajisi ndoa yako mwenyewe na kuivunja kwa mikono yako mwenyewe. Usimtafute mchawi mambo yakivurugika.

Haya mafurushi, good morning.
 
Kuna wazee watakuambia katika maisha yako hakikisha unachanganya usikubali watoto wote wawe wa mama mmoja. Endapo ikitokea kuna matatizo ya kurithi upande wa huyo mama, au kuna laana fulani unaweza jikuta watoto wote wanaangamia. Ila hao ni wazee, sio mimi.
Nyie hamna laana wala matatizo ya kurithi?

Mafurushi.
 
Jazaneni ujinga tu ila hamjui madhara mnayoyasababisha. Mwanaume unaechepuka achilia mbali kuzaa na mkeo akatambua basi usijipe moyo kusema "amenisamehe".

Pia kitendo cha kuchepuka tu hata bila ya mwenzio kujua unainajisi ndoa yako mwenyewe na kuivunja kwa mikono yako mwenyewe. Usimtafute mchawi mambo yakivurugika.

Haya mafurushi, good morning.
Vipi kwa sisi tunaoruhusiwa kuoa wake wengi?
 
huo ni ushauri mmbovu sana unajitakia presha zisizo na msingi hutakaa na amani kabisa
Kuna mtu nilikuwa na uhusiano naye, tulianza vizuri sana, baada ya miezi kadhaa, naona jamaa Yuko stressed muda wote, najiuliza nilicho misbehave kwake mpaka awe hivyo sikioni, nikimuuluza hana majibu......... Baadae ananiambia tufanye kila kinachowezekana nibebe mimba ili tuanze process nyingine (kuna kitu hakikuwa sawa Ila sikutoa ushirikiano maana nilikuwa nimesoma upepo). Nilimwambia tu kama ningetaka mtoto, ungekuta ninaye, lkn kwa sasa siko tayari, Mimi siyo incubator, kwamba nibebe, nilee mwisho wa siku unakuja kuchukua mtoto kiulaini!
Muda huo namchunguza kimya kimya (maana alikuwa ananichukulia poa, akihisi kuwa alivyo, hawezi kuchunguzwa). Nilichokiona, mpaka muda ule alikuwa na watoto 3, kila mmoja na mama yake, na wote aliwakuta ni single mothers, kipindi ananiambia nibembe mimba kumbe kuna mama mwingine anasubiri kujifungua mtoto mwingine muda wowote, kwa hiyo mtoto wa nne. Yote hayo alikuwa na diary ambayo huwa anaificha kwenye gari, na siku nimegusa alifahamu (ana alama zake, siwezi ongea sana) ila sikumuonesha reaction yoyote......... Nikawaza, Mimi mtoto wa baba, nasubiri na Mimi kuzaa mtoto wa tano?! Nikaamua kuachana naye, nilipata usumbufu mkubwa, lkn pia alilia, akasema hata yeye hapendi past yake, ila pia hawezi ibadilisha. Akaomba nimpe muda, na hataki kuzaa na Mimi bila commitment......... Tulifundishwa kuvumilia eti? The perfect man doesn't exist eti? Ukitaka mzuri mfungue kwa karatasi? Ndo ujinga uliokuja kichwani mwangu. Nikarudiana naye.
Mwezi X tukachukua likizo (imepita miaka, si niliamua kuvumilia?) Tuanze process, Mungu asante, siku kadhaa kabla ya likizo tuligombana ugomvi ambao siuelewi mpaka Leo. Tulikata mawasiliano, na nikawa nimeepuka hilo balaa. Naamini Mungu ananiwazia mema zaidi.........
 
Tunayo mkuu. Ndio maana na wake zetu nao katika watoto watano atakaozaa lazima mmoja achagize kwa jirani.
Ndio maana mnaambiwa mchunguzane kabla ya kuoana. Tatizo mnaviingia viapo hata hamjui maana yake. Mwisho wa siku ndio akili kama hizo.
 
Kuna mtu nilikuwa na uhusiano naye, tulianza vizuri sana, baada ya miezi kadhaa, naona jamaa Yuko stressed muda wote, najiuliza nilicho misbehave kwake mpaka awe hivyo sikioni, nikimuuluza hana majibu......... Baadae ananiambia tufanye kila kinachowezekana nibebe mimba ili tuanze process nyingine (kuna kitu hakikuwa sawa Ila sikutoa ushirikiano maana nilikuwa nimesoma upepo). Nilimwambia tu kama ningetaka mtoto, ungekuta ninaye, lkn kwa sasa siko tayari, Mimi siyo incubator, kwamba nibebe, nilee mwisho wa siku unakuja kuchukua mtoto kiulaini!
Muda huo namchunguza kimya kimya (maana alikuwa ananichukulia poa, akihisi kuwa alivyo, hawezi kuchunguzwa). Nilichokiona, mpaka muda ule alikuwa na watoto 3, kila mmoja na mama yake, na wote aliwakuta ni single mothers, kipindi ananiambia nibembe mimba kumbe kuna mama mwingine anasubiri kujifungua mtoto mwingine muda wowote, kwa hiyo mtoto wa nne. Yote hayo alikuwa na diary ambayo huwa anaificha kwenye gari, na siku nimegusa alifahamu (ana alama zake, siwezi ongea sana) ila sikumuonesha reaction yoyote......... Nikawaza, Mimi mtoto wa baba, nasubiri na Mimi kuzaa mtoto wa tano?! Nikaamua kuachana naye, nilipata usumbufu mkubwa, lkn pia alilia, akasema hata yeye hapendi past yake, ila pia hawezi ibadilisha. Akaomba nimpe muda, na hataki kuzaa na Mimi bila commitment......... Tulifundishwa kuvumilia eti? The perfect man doesn't exist eti? Ukitaka mzuri mfungue kwa karatasi? Ndo ujinga uliokuja kichwani mwangu. Nikarudiana naye.
Mwezi X tukachukua likizo (imepita miaka, si niliamua kuvumilia?) Tuanze process, Mungu asante, siku kadhaa kabla ya likizo tuligombana ugomvi ambao siuelewi mpaka Leo. Tulikata mahusiano, na nikawa nimeepuka hilo balaa. Naamini Mungu ananiwazia mema zaidi.........
Kuna vitu huwezi kuvibadili kwa mwanaume. Hongera kama ume move on kweli
 
Kuna mtu nilikuwa na uhusiano naye, tulianza vizuri sana, baada ya miezi kadhaa, naona jamaa Yuko stressed muda wote, najiuliza nilicho misbehave kwake mpaka awe hivyo sikioni, nikimuuluza hana majibu......... Baadae ananiambia tufanye kila kinachowezekana nibebe mimba ili tuanze process nyingine (kuna kitu hakikuwa sawa Ila sikutoa ushirikiano maana nilikuwa nimesoma upepo). Nilimwambia tu kama ningetaka mtoto, ungekuta ninaye, lkn kwa sasa siko tayari, Mimi siyo incubator, kwamba nibebe, nilee mwisho wa siku unakuja kuchukua mtoto kiulaini!
Muda huo namchunguza kimya kimya (maana alikuwa ananichukulia poa, akihisi kuwa alivyo, hawezi kuchunguzwa). Nilichokiona, mpaka muda ule alikuwa na watoto 3, kila mmoja na mama yake, na wote aliwakuta ni single mothers, kipindi ananiambia nibembe mimba kumbe kuna mama mwingine anasubiri kujifungua mtoto mwingine muda wowote, kwa hiyo mtoto wa nne. Yote hayo alikuwa na diary ambayo huwa anaificha kwenye gari, na siku nimegusa alifahamu (ana alama zake, siwezi ongea sana) ila sikumuonesha reaction yoyote......... Nikawaza, Mimi mtoto wa baba, nasubiri na Mimi kuzaa mtoto wa tano?! Nikaamua kuachana naye, nilipata usumbufu mkubwa, lkn pia alilia, akasema hata yeye hapendi past yake, ila pia hawezi ibadilisha. Akaomba nimpe muda, na hataki kuzaa na Mimi bila commitment......... Tulifundishwa kuvumilia eti? The perfect man doesn't exist eti? Ukitaka mzuri mfungue kwa karatasi? Ndo ujinga uliokuja kichwani mwangu. Nikarudiana naye.
Mwezi X tukachukua likizo (imepita miaka, si niliamua kuvumilia?) Tuanze process, Mungu asante, siku kadhaa kabla ya likizo tuligombana ugomvi ambao siuelewi mpaka Leo. Tulikata mawasiliano, na nikawa nimeepuka hilo balaa. Naamini Mungu ananiwazia mema zaidi.........
Hivyo vitu ulivyoviita "ujinga" ulivyoviwaza ndio yanayowapa wanawake wengi maumivu makali ambayo imebidi wajiambie "ujinga" mwingine ili waendelee kuvumilia maumivu hayo. Kuna red flags nyingi mtu unaonyeshwa kabla ya kuoana lakini tunajiaminisha "ujinga" sijui ni kwa desparation ya ndoa

Mwanaume anaezaa zaa hovyo na kila mwanamke hawezi kuwa mume wala baba daima. Huyo ni sperm donor tu. Ogopa sana mwanaume anaejua hamna ndoa halafu anakutaka mzae. Hilo ni furushi.
 
Back
Top Bottom