Mgiriki MTz
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 330
- 270
Hii mada chochezi!!
Za kuambiwa nimesha changanya na za kwanguKuna wazee watakuambia katika maisha yako hakikisha unachanganya usikubali watoto wote wawe wa mama mmoja. Endapo ikitokea kuna matatizo ya kurithi upande wa huyo mama, au kuna laana fulani unaweza jikuta watoto wote wanaangamia. Ila hao ni wazee, sio mimi.
Ankoo siwezi kufanya hiyo kitu kabisa. Hata nikipanga niwe na kadada kadogodogo hata dakika kumi hazifiki nafumaniwa kwenye mtongozo.
Ankoo siwezi kufanya hiyo kitu kabisa. Hata nikipanga niwe na kadada kadogodogo hata dakika kumi hazifiki nafumaniwa kwenye mtongozo.
Nina kigugumizi, nikijaribu kujitetea wife anasema atafunika ungo chini... Eti akifanya hivyo(sijui kweli?!) nitakufa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Ankoo, ahsante kwa kujali. Michepuko yangu ni wamiliki wa shule, yaani najuta kwanini Disemba inaisha bila makubaliano. Kila mmiliki anakumbushia balance yakeanakutishia tu, baki njia kuu anko huku michepukoni hakuna hata cha ziada
Sent using Jamii Forums mobile app
eee komaa nao haohaoKweli Ankoo, ahsante kwa kujali. Michepuko yangu ni wamiliki wa shule, yaani najuta kwanini Disemba inaisha bila makubaliano. Kila mmiliki anakumbushia balance yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wote tuseme aminaJazaneni ujinga tu ila hamjui madhara mnayoyasababisha. Mwanaume unaechepuka achilia mbali kuzaa na mkeo akatambua basi usijipe moyo kusema "amenisamehe".
Pia kitendo cha kuchepuka tu hata bila ya mwenzio kujua unainajisi ndoa yako mwenyewe na kuivunja kwa mikono yako mwenyewe. Usimtafute mchawi mambo yakivurugika.
Haya mafurushi, good morning.
Kuna raha gani ya kurithi jina wakati unasomeshwa na mjomba?Vipi kuhusu haki ya mtoto kurithi jina la baba yake. Unless kama huyu baba (mume wa mtu) amemkataa mtoto kwa maneno vinginevyo huyo mtoto ana haki ya jina la baba yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tusichepuke kweli? Halafu endelea kutuita hivyo tu...Jazaneni ujinga tu ila hamjui madhara mnayoyasababisha. Mwanaume unaechepuka achilia mbali kuzaa na mkeo akatambua basi usijipe moyo kusema "amenisamehe".
Pia kitendo cha kuchepuka tu hata bila ya mwenzio kujua unainajisi ndoa yako mwenyewe na kuivunja kwa mikono yako mwenyewe. Usimtafute mchawi mambo yakivurugika.
Haya mafurushi, good morning.
Kuitwa jina la ujombani sio poa. Ulizaliwa na babu yako. Kila mtoto apewe jina la baba yake ya mbele hayajulikaniKuna raha gani ya kurithi jina wakati unasomeshwa na mjomba?
Hayo ni mawazo yako na yaheshimiweKuitwa jina la ujombani sio poa. Ulizaliwa na babu yako. Kila mtoto apewe jina la baba yake ya mbele hayajulikani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkeo ni MMACHAME?Hapana anakaa na mama yake, mke amekataa, kadai atakaa nasi kama mama yake asipokuwa duniani, mrs wangu yuko very strong...
Halafu ni kama mambo yanabadilika.... siku hizi liketokea wimbi la waume za watu kupenda wake za watu na wake za watu kupenda waume za watu. Wenyewe wanasema huo ndio uchepukaji wenye afya