Ukiwa Tanga usiwe na haraka

Ukiwa Tanga usiwe na haraka

tanga ni mji w ajabu sana...kwa mimi nilietoka mji wa kibabe arachuga huwa naishangaa sana tanga.kuna siku kipindi cha nyuma sana nililala night moja pale tanga beach resort nilishangaa sana kuona hotel kubwa ya nyota kama ile swimming pool zake wanaoga machokoraa na masoro!!nilistaajab sna na nikaishusha cheoo ile hotel.kingine tanga mjini baskeli nyingi mi sijawahi kuona jiji lina mabaskeli vile.asubuhi asubuhii ili ujue kumekucha unaskiaa UWONOOO UWONOOO.watoto hao wa kiarabu unasema ni choka mbaya wanadanga kwa waswahili wa bara tuu.mtu wa bara ukienda kule kwa kaz zako na uhakika wa pesa unao unafungiwa ndani na utawala nyumba nzima hadi mamamkwe
Hahahahah Tanga maisha simpo sana
 
jamani kuna sehemu nasikia panaitwa mwakizaro story za huko zikoje kwa wadada yaani warembo
 
Maeneo ya pwani mengi kuna mamwinyi wengi wao hawapendi kazi mda mwingi wamekaa kwenye vile viti vya uvivu wanasoma magazeti uku wakishushia kahawa na kashata
 
Back
Top Bottom