Masangutu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 814
- 647
Sio kweli mkuu,vipi iringa,mbeya na makete kuhusu maambukizi ya ukimwi nafikiri hiyo mikoa na wilaya zake inaongozaNdo maana Tanga inaongoza kwa maambukizi ya ukimwi
Sio kweli mkuu,vipi iringa,mbeya na makete kuhusu maambukizi ya ukimwi nafikiri hiyo mikoa na wilaya zake inaongozaNdo maana Tanga inaongoza kwa maambukizi ya ukimwi
Nyumba Mganga Nyumba PungaKumbe unazungumzia tabia za ushoga, mbona dar hamshangai kuna mambo ya kweli lakini mengi ni chumvi tupu, niliwahi kuambiwa Tanga ukipiga teke hata kifuu kinaongea lakini nilikuwa napiga hata kuku lakini sijawahi kushuhudia hicho kitu.
Akiwemo mama yakoTanga wake za watu wana huruma kuliko ambao hawajaolewa.
Yaani Nkuu, gari ununue weye, kuchangaa tuchangae chichi, baaa!! Tuombe laji tafajali bwana weye, baaa!!Tanga ni kati ya mji wa kipekee sana hapa Tanzania.
Watu hawana haraka na hawajali kabisa. Watu hawaendi na muda na they don't care about it. Ukidrive town wanaona shida hata ku-overtake, sababu hana haraka.
Maduka yanachelewa sana kufunguliwa. Na pia yanawahi kufungwa. Watu hawana wivu wa maendeleo kabisa. Hata ukinunua gari lako zuri, watu hawana time nalo. Hawaoni improvement yako na hawajali.
Kila mwanamke unayekutana nae kavaa hijab, ukimuuliza umeolewa anasema hajaolewa. Na anaweza akakupa chochote, muda wowote na kwa namna yoyote. Tanga aisee hakuna haraka. Ukija huku hakikisha haufuati sana ratiba yako.
Life is simple!

Ungeenda Pongwe ungeliwa, mkuu. Hakuna wasomali Pongwe
Baada ya kuingia Tanga nikapata na lodge maeneo ya Sahare. Nikamtafuta bodaboda anipeleke kwenye "Wajasirimali" akanipeleka City centre ilipokua La Cassa Chika club karibu na posta/soko daah mademu wazee na wabovu sana japo jamaa aliwasifia kishenzi. Baadae ananiambia ooh twende Pongwe (yapata 15kms eti Kuna mademu wa kisomali) Nilikataa kulipia boda kwa ujinga wake na kunipotezea muda.
Hapo kwenye ukarimu /maelezo kidogo mkuu maana tunakula mtori tu hauishi na nyama mmezichimbia chiniHivi punde,
Sema inategemea Tanga ipi, kuna maeneo kama Lushoto ,kule wapiga kazi. Ila sasa maeneo mengin, ukishuka Tanga town, ukaenda enda mbelembele huko, utayaona mengi sana. Ila wakarimu sana.
Huenda usiku wanalala wanapeana mzigoZanzibar ni hivyo hivyo. Nahisi watu wa pwani ni uvivu umewajaa. Nilikua nakasirika nikiamka asubuhi kwenda dukani nakuta maduka yamefungwa mpaka saa 4 ,5 ndo wanafungua maduka.
uzuri wa Tanga ni wakarimu sana,unaweza gonga mlango nyumba yoyote na ukakaribishwa ukapewa chumba cha kulala na binti wa kukuhudumia ukakabidhiwa....asanteni watu wangu wa Duga huduma yenu niliipenda ntarudi tena....TANGA RAHATanga ni kati ya mji wa kipekee sana hapa Tanzania.
Watu hawana haraka na hawajali kabisa. Watu hawaendi na muda na they don't care about it. Ukidrive town wanaona shida hata ku-overtake, sababu hana haraka.
Maduka yanachelewa sana kufunguliwa. Na pia yanawahi kufungwa. Watu hawana wivu wa maendeleo kabisa. Hata ukinunua gari lako zuri, watu hawana time nalo. Hawaoni improvement yako na hawajali.
Kila mwanamke unayekutana nae kavaa hijab, ukimuuliza umeolewa anasema hajaolewa. Na anaweza akakupa chochote, muda wowote na kwa namna yoyote. Tanga aisee hakuna haraka. Ukija huku hakikisha haufuati sana ratiba yako.
Life is simple!
Mama yake hakubahatika kuolewa. Ilikua Mali ya ummaAkiwemo mama yako
Watu Wa pwani wote hawana haraka, wao ni mapenzi tu ndio kipaumbele chao tuTanga ni kati ya mji wa kipekee sana hapa Tanzania.
Watu hawana haraka na hawajali kabisa. Watu hawaendi na muda na they don't care about it. Ukidrive town wanaona shida hata ku-overtake, sababu hana haraka.
Maduka yanachelewa sana kufunguliwa. Na pia yanawahi kufungwa. Watu hawana wivu wa maendeleo kabisa. Hata ukinunua gari lako zuri, watu hawana time nalo. Hawaoni improvement yako na hawajali.
Kila mwanamke unayekutana nae kavaa hijab, ukimuuliza umeolewa anasema hajaolewa. Na anaweza akakupa chochote, muda wowote na kwa namna yoyote. Tanga aisee hakuna haraka. Ukija huku hakikisha haufuati sana ratiba yako.
Life is simple!
kiongozi unaweza kubaliana na mimi kwamba Wewe mwenyew huwezi jiona una tatizo mpaka aje mwingine ndo atajua una tatizo.Wewe kukulia tanga mambo unayaona ya kawaida tu akija mgeni ataona kuna tofauti kubwa..Ndo ilivyo hii maada!! Siku zote huwezi kuona Boriti lililopo katika jicho lako mwenyew Ila unaona kibanzi kilichopo kwenye jicho la nduguyo, Maana yake huwezi kuona matatizo yako mwenyew ila ya mwingine ni rahis kuyaona.Umedanganywa hakuna kitu kama icho mi nimezaliwa tanga nimekua tanga nimesoma nursery mpaka form sixnilichagua shule za tanga tu hizo ni propaganda hakuna kitu kama icho mbele ya dini ya uislamu ukihisiwa tu umekwisha unaweza pigwa mawe izo ni propaganda za kimagharibi tu kule hakuna ushenzi kabisa naijua tanga yote
Umempa Elimu kubwa Sanakiongozi unaweza kubaliana na mimi kwamba Wewe mwenyew huwezi jiona una tatizo mpaka aje mwingine ndo atajua una tatizo.Wewe kukulia tanga mambo unayaona ya kawaida tu akija mgeni ataona kuna tofauti kubwa..Ndo ilivyo hii maada!! Siku zote huwezi kuona Boriti lililopo katika jicho lako mwenyew Ila unaona kibanzi kilichopo kwenye jicho la nduguyo, Maana yake huwezi kuona matatizo yako mwenyew ila ya mwingine ni rahis kuyaona.
1. Kwa nini maduka yanafunguliwa saa tatu? na kufungwa saa 11 jioni?Hili Jambo linanishangaza Sana, maana mtu utakuta sio mzawa wa Tanga Wala hajawahi kufika ila vile amesikia habari za huko basi atazieneza na kutia chumvi zake nyingine nyingi.
Mimi ni mzawa wa Tanga na nimekulia Tanga, Mambo mengine kuhusu Tanga tunayashangaa yanavyovuma mno aisee maana ni tofauti kabisa na uhalisia.
Lakini kiukweli Tanga ni sehemu moja nzuri tulivu na isiyo na tafrani za kubughudhi, na kwa maendeleo watu wanapambana, swala la kupiga kazi watu wanapiga na ndio maana maisha yanaendelea na watu wanakula bata tena Bata mzinga sababu wanakidhi mahitaji yao.
Mi nimekaa miaka 25 ni wavivu sanaKabla sijafika Tanga nilikuwa naamini sana story kama hizo, lakini nimeishi huko zaidi ya miaka miwili, hakuna vitu kama hivyo ni story za kusadikika tu.
Maisha bhana ni Mungu tu anajua!! Mfano mzuri Vichaa sisi si tunawashangaa hawa ni vichaa ila wao wanaona kawaida..si ajabu ukakuta na wao wanatuona vichaa pia!!😀 huwezi kujiona una kasoro mpaka mtu mwingine akuone!!Umempa Elimu kubwa Sana
Hakuna kitu kama icho usidanganywe sehemu yenye uislamu ni huwexi fanya mambo hayo na hata dar nimekaa nimekaa temeke pale maduka yanafunguliwa saa 3 n kuendelea nenda pale keko maduka mawili ukaonekiongozi unaweza kubaliana na mimi kwamba Wewe mwenyew huwezi jiona una tatizo mpaka aje mwingine ndo atajua una tatizo.Wewe kukulia tanga mambo unayaona ya kawaida tu akija mgeni ataona kuna tofauti kubwa..Ndo ilivyo hii maada!! Siku zote huwezi kuona Boriti lililopo katika jicho lako mwenyew Ila unaona kibanzi kilichopo kwenye jicho la nduguyo, Maana yake huwezi kuona matatizo yako mwenyew ila ya mwingine ni rahis kuyaona.