Ukiwa Tanga usiwe na haraka

Ukiwa Tanga usiwe na haraka

Nikikumbuka Tanga nakumbuka usagara tu aliyo yasema mtoa mada Yana ukweli vijana wa usagara mibangee wamekula Bata sana pale park,forodhani,deep sea Tanga Raha San #ukiilewa mitaa umenielewa#
 
Vipi Muheza kuna chimbo la maana la nyuchi...
naona uzi una elezea Tanga mjini
 
Tanga ni kati ya mji wa kipekee sana hapa Tanzania.

Watu hawana haraka na hawajali kabisa. Watu hawaendi na muda na they don't care about it. Ukidrive town wanaona shida hata ku-overtake, sababu hana haraka.

Maduka yanachelewa sana kufunguliwa. Na pia yanawahi kufungwa. Watu hawana wivu wa maendeleo kabisa. Hata ukinunua gari lako zuri, watu hawana time nalo. Hawaoni improvement yako na hawajali.

Kila mwanamke unayekutana nae kavaa hijab, ukimuuliza umeolewa anasema hajaolewa. Na anaweza akakupa chochote, muda wowote na kwa namna yoyote. Tanga aisee hakuna haraka. Ukija huku hakikisha haufuati sana ratiba yako.

Life is simple!
Tanga ni mkoa mmoja ambao hata sitaki kuusikia masikioni mwangu, na si Tanga tu tuseme mikoa yote inayoendekeza dini na ushirikina siipendi. Mchana utawaona kama hawajali maendeleo yako ila usiku ndipo wanakuja kukupiga vidole na kukuchezea sehemu za siri. Angalia hata wananchi wake walivyo useless, mashoga wengi asili yao ni Tanga na wanaume wambea asilimia kubwa yao ni watu wa Tanga.
 
Back
Top Bottom