Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,816
- 8,982
na mi jini mahaba kibaoNilichopenda Tanga wanawake wana roho nzuri sijapata kuona![]()
na mi jini mahaba kibaoNilichopenda Tanga wanawake wana roho nzuri sijapata kuona![]()
Achana na habari za kusikia sikia..!Nisaidie pia kuniulizia kwa hao Watu wako wa huko huko Tanga ni kwanini Wanawake wao wengi ( japo siyo wote ) wanapenda sana kupitia barabara za Vumbi na siyo zile za Lami? Wakishakujibu malizia Kuniulizia tena hao hao wana Tanga kuwa ni kwanini Wanaume zao wengi ( japo siyo wote ) wanapenda mno kwenda Kinyume na Maandiko ya Mwenyezi Mungu wawapo na Jinsia tofauti na Yao na hata wakiwa wao kwa wao? Nayasubiri Majibu yangu kutoka Kwako mwana Tanga na wana Tanga mliopo hapa. Nitashukuru.
Aiseee!!!!!!!!!!Tazama hta mabasi yao yani 350kms lkn yanatembea siku nzima
Duka la wapi!??......maana Kama liko katikati ya mji kwann asifunge jioni awahi nyumbani!???....unataka achelewe kufunga umuibie!??? Wengine hufanya kwa sababu za kiusalama hasa maduka ya jumla.1. Kwa nini maduka yanafunguliwa saa tatu? na kufungwa saa 11 jioni?
2. Kwa nini mpaka saa tatu asubuhi ndio utapata chai
3. Kwa nini migahawa na hoteli mwisho saa 9 Mchana. Usiku itabidi mama ntilie au chips!!!##
4. Kwa nini soko la mgandini na ngamiani linamilikiwa kwa wageni tu?
5. Kwa nini mikokoteni na boda zote ni za wageni? Wadigo wanafanya nini?
Ni kweli,,kile ni kijembe tu,haiwezekani tanga uwepo ufuska,ukimwi wapate wa iringa.Sio kweli mkuu,vipi iringa,mbeya na makete kuhusu maambukizi ya ukimwi nafikiri hiyo mikoa na wilaya zake inaongoza
sasa wewe ke unawafanyoia nini ke wenzio hata wakija hapoMimi nikiwa huko nafikiaga mtendele pale chuda road jioni huwa wanakuja watoto watamu sana wa kiarabu kwenye ile hotel
Tabia ya maduka kuchelewa kufunguliwa si pwani tu, labda kama hujatembea hii Tanzania.Zanzibar ni hivyo hivyo. Nahisi watu wa pwani ni uvivu umewajaa. Nilikua nakasirika nikiamka asubuhi kwenda dukani nakuta maduka yamefungwa mpaka saa 4 ,5 ndo wanafungua maduka.
Sisi wengine tumeoa Tanga mjini kabisa, na tunaijua Tanga vizuri. Hawa hizi sifa mbovu huwa wanazipata wakiwa nje ya Tanga.Chief
Mimi nimezaliwa Tanga na kuishi mpaka utu uzima wangu huu
Sijawahi ona sifa hii au kusikia katika Mji wetu
Si mjini wala vijijini
Bali
Naona kwenye mitandao watu wakisema kwa wingi na kutoa sifa chafu hizi kwa wazawa wa Tanga
ila nilichojua, ni jambo moja tu
Wengi wenu, huwa mnajijua na kufahamiana katika upuuzi huu
Mbona unauliza maswali ya kitoto sana, hizi ni ratiba za watu tu. Ushawahi kujiuliza kwanini huku Dar hasa Posta na Kariakoo maduka mengi yanafungwa saa 11 na moja na ule ni mji wa kibiashara una watu masaa ya 24...?1. Kwa nini maduka yanafunguliwa saa tatu? na kufungwa saa 11 jioni?
2. Kwa nini mpaka saa tatu asubuhi ndio utapata chai
3. Kwa nini migahawa na hoteli mwisho saa 9 Mchana. Usiku itabidi mama ntilie au chips!!!##
Mkuu upo Tanga ?unataka kutuambia kuwa mhenga aliyesema "haraka haraka haina baraka" anatokea tanga?
mahaba yanawachosha jomonii 😀Zanzibar ni hivyo hivyo. Nahisi watu wa pwani ni uvivu umewajaa. Nilikua nakasirika nikiamka asubuhi kwenda dukani nakuta maduka yamefungwa mpaka saa 4 ,5 ndo wanafungua maduka.
nipo bara sasahv,sitaki kuamka saa 4 asbh mm...Mkuu upo Tanga ?
nipo bara sasahv,sitaki kuamka saa 4 asbh mm...


tutafutane tupeane ya kibara.Huyo sio ke, ukiwa mwongo uwe na kumukumbu. Mara nyingi huwa anajichanganya na kujikuta anakomenti kama mwanaume.sasa wewe ke unawafanyoia nini ke wenzio hata wakija hapo
Acha kubisha ukweli, ukiwa Tanga nyumba ya kwanza mganga nyumba ya pili chokohumu ndani kuna wapuuzi wanaiongelea tanga vibaya mno. tanga maadili yapo tena kwa kiasi kikubwa. ni kawaida kuona bar inageuzwa, msikiti, mf: cassanova karibu na duga mwembeni. taifa rd.
kuhusu ushoga nikiri ni upo kwa asilimia chache mno kama ilivyo tu kwa mikoa mengine. mahala popote pale hakuna jamii inayopendezwa na vitendo vile.,,. hakuna kitu kinaniuma kama mtu kusema nyumba mganga nyumba shoga. (sikufichi kama uko mbele yangu jipange. nishawai kumpasua mtu buza na chupa kama nne nyuzi 5.) huo msemo unanikwaza sana na aliongea hivyo baada ya kujitambulisha kwake kwamba mi tanga ni nyumbani, japo sina asili ya pale ndo akaongea huo upuuzi.
TANGA NI JIJI DOGO lenye ustaarabu wa hali ya juu kuanzia mandhari mpaka watu wake... Hawapendi pupa kwani hawaamini ktk mlengo huo. Ni kawaida kuona abiria wa hiace nzima wakimsema dereva akienda mwendokasi. Hawataki pupa kwani wanajipenda mno watu wa tanga. Ukiachana na hayo ... Mapishi,mapenzi,ujamaa na urafiki,ukarimu . Ni moja ya mambo ya kila siku mjini pale.
Mambo ni mengi, ila mara nyingi napenda kusema za kuambiwa changanya na zako, nauli DSM - TA zina range 14k-25k NENDA KAJIONEE.