Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,941
Vipi walikufanyia nini?Nilichopenda Tanga wanawake wana roho nzuri sijapata kuona![]()
Vipi walikufanyia nini?Nilichopenda Tanga wanawake wana roho nzuri sijapata kuona![]()
Kwann hajakupelea lavida,chichi au splendid?Baada ya kuingia Tanga nikapata na lodge maeneo ya Sahare. Nikamtafuta bodaboda anipeleke kwenye "Wajasirimali" akanipeleka City centre ilipokua La Cassa Chika club karibu na posta/soko daah mademu wazee na wabovu sana japo jamaa aliwasifia kishenzi. Baadae ananiambia ooh twende Pongwe (yapata 15kms eti Kuna mademu wa kisomali) Nilikataa kulipia boda kwa ujinga wake na kunipotezea muda.
Umedanganywa hakuna kitu kama icho mi nimezaliwa tanga nimekua tanga nimesoma nursery mpaka form sixnilichagua shule za tanga tu hizo ni propaganda hakuna kitu kama icho mbele ya dini ya uislamu ukihisiwa tu umekwisha unaweza pigwa mawe izo ni propaganda za kimagharibi tu kule hakuna ushenzi kabisa naijua tanga yoteNisaidie pia kuniulizia kwa hao Watu wako wa huko huko Tanga ni kwanini Wanawake wao wengi ( japo siyo wote ) wanapenda sana kupitia barabara za Vumbi na siyo zile za Lami? Wakishakujibu malizia Kuniulizia tena hao hao wana Tanga kuwa ni kwanini Wanaume zao wengi ( japo siyo wote ) wanapenda mno kwenda Kinyume na Maandiko ya Mwenyezi Mungu wawapo na Jinsia tofauti na Yao na hata wakiwa wao kwa wao? Nayasubiri Majibu yangu kutoka Kwako mwana Tanga na wana Tanga mliopo hapa. Nitashukuru.
Hizi takwimu umezitoa wapiNdo maana Tanga inaongoza kwa maambukizi ya ukimwi
Mkuu jazia jazia nyama kidogo tushibe huu wali..mambo ya huko..nina mpango kuja kutembea sikuTanga ni kati ya mji wa kipekee sana hapa Tanzania.
Watu hawana haraka na hawajali kabisa. Watu hawaendi na muda na they don't care about it. Ukidrive town wanaona shida hata ku-overtake, sababu hana haraka.
Maduka yanachelewa sana kufunguliwa. Na pia yanawahi kufungwa. Watu hawana wivu wa maendeleo kabisa. Hata ukinunua gari lako zuri, watu hawana time nalo. Hawaoni improvement yako na hawajali.
Kila mwanamke unayekutana nae kavaa hijab, ukimuuliza umeolewa anasema hajaolewa. Na anaweza akakupa chochote, muda wowote na kwa namna yoyote. Tanga aisee hakuna haraka. Ukija huku hakikisha haufuati sana ratiba yako.
Life is simple!
Ni baadhi tu mkuu (tena wachache mno).Ukimpa kazi mtu wa Tanga uwe mvumilivu kusubiria.
Mtu anakuwa radhi ailaze kazi ambayo inamwingizia kipato kwasababu ya kucheza bao.
Huko sahaihi aslimia 100 nimesoma advance pale tanga pale lushoto shambalai basi wanakuja watu wa mikoani especially chuga na moshi ,wengine mikoa kadhaa kama mara,bukoba,dar ndo kibao, sumbawanga basi wamekariri watu qa tanga ivi kikubwa walikutana na wadigo 🤣🤣🤣🤣kama unavyojua walikuwa wanaongea sana shule nzima kama wamikoani wanajikuta hawana sauti maana ubishani sana mbaya zaidi wana kibao wamezunguka wamerudi kuoa pale waty wa tangaHili Jambo linanishangaza Sana, maana mtu utakuta sio mzawa wa Tanga Wala hajawahi kufika ila vile amesikia habari za huko basi atazieneza na kutia chumvi zake nyingine nyingi.
Mimi ni mzawa wa Tanga na nimekulia Tanga, Mambo mengine kuhusu Tanga tunayashangaa yanavyovuma mno aisee maana ni tofauti kabisa na uhalisia.
Lakini kiukweli Tanga ni sehemu moja nzuri tulivu na isiyo na tafrani za kubughudhi, na kwa maendeleo watu wanapambana, swala la kupiga kazi watu wanapiga na ndio maana maisha yanaendelea na watu wanakula bata tena Bata mzinga sababu wanakidhi mahitaji yao.
Huko sahaihi aslimia 100 nimesoma advance pale tanga pale lushoto shambalai basi wanakuja watu wa mikoani especially chuga na moshi ,wengine mikoa kadhaa kama mara,bukoba,dar ndo kibao, sumbawanga basi wamekariri watu qa tanga ivi kikubwa walikutana na wadigo 🤣🤣🤣🤣kama unavyojua walikuwa wanaongea sana shule nzima kama wamikoani wanajikuta hawana sauti maana ubishani sana mbaya zaidi wana kibao wamezunguka wamerudi kuoa pale waty wa tangaHili Jambo linanishangaza Sana, maana mtu utakuta sio mzawa wa Tanga Wala hajawahi kufika ila vile amesikia habari za huko basi atazieneza na kutia chumvi zake nyingine nyingi.
Mimi ni mzawa wa Tanga na nimekulia Tanga, Mambo mengine kuhusu Tanga tunayashangaa yanavyovuma mno aisee maana ni tofauti kabisa na uhalisia.
Lakini kiukweli Tanga ni sehemu moja nzuri tulivu na isiyo na tafrani za kubughudhi, na kwa maendeleo watu wanapambana, swala la kupiga kazi watu wanapiga na ndio maana maisha yanaendelea na watu wanakula bata tena Bata mzinga sababu wanakidhi mahitaji yao.
Sawa mkuuMkuu hizi nj propaganda tu za vijiweni kama zile zibazovumishwa kuwa sumbawanga kuna uchawi saba ilhali ukifika kule mambo ni tofauti. Kwa hiyo zisikunyime usingizi
Tatizo moja unatembea na mawazo yako kichwani asa chuga kuna nn cha maana😂😂😂masikini 23% mademu matommy boys kama wanaume yaani hayana hta mxuka yakifika tanga na dsm yankuwa madanga hamna mbabe chugatanga ni mji w ajabu sana...kwa mimi nilietoka mji wa kibabe arachuga huwa naishangaa sana tanga.kuna siku kipindi cha nyuma sana nililala night moja pale tanga beach resort nilishangaa sana kuona hotel kubwa ya nyota kama ile swimming pool zake wanaoga machokoraa na masoro!!nilistaajab sna na nikaishusha cheoo ile hotel.kingine tanga mjini baskeli nyingi mi sijawahi kuona jiji lina mabaskeli vile.asubuhi asubuhii ili ujue kumekucha unaskiaa UWONOOO UWONOOO.watoto hao wa kiarabu unasema ni choka mbaya wanadanga kwa waswahili wa bara tuu.mtu wa bara ukienda kule kwa kaz zako na uhakika wa pesa unao unafungiwa ndani na utawala nyumba nzima hadi mamamkwe
Zanzibar ni kubwa labda useme ulikua mkoa gani...Zanzibar ni hivyo hivyo. Nahisi watu wa pwani ni uvivu umewajaa. Nilikua nakasirika nikiamka asubuhi kwenda dukani nakuta maduka yamefungwa mpaka saa 4 ,5 ndo wanafungua maduka.
Hakika mkuu kuna watu wanapenda kuhadithiwa kuliko kujionea wanaponda sana maeneo ya pwani kama vile wameshafanya utafiti.Chief
Mimi nimezaliwa Tanga na kuishi mpaka utu uzima wangu huu
Sijawahi ona sifa hii au kusikia katika Mji wetu
Si mjini wala vijijini
Bali
Naona kwenye mitandao watu wakisema kwa wingi na kutoa sifa chafu hizi kwa wazawa wa Tanga
ila nilichojua, ni jambo moja tu
Wengi wenu, huwa mnajijua na kufahamiana katika upuuzi huu
Takwimu za lini hizo?Ndo maana Tanga inaongoza kwa maambukizi ya ukimwi
Makete Njombe huko watu wanabanduana balaa,ukimwi upo juu kinoma,mpaka vilainishi wameperekewa wabanduane bila michubuko.Hata hapo Dar hayo mambo yapo.
Inamaana Kaka hujawahi kufika Buza kwa Mpalange ? Hayo mambo hata Musoma nimeyakuta. Hata wakurrya miraba minne wanakamata kuta za nyumba kwa ridhaa zao kwa ujira mdogo tu.
Msiwapakazie wa Tanga
Baelezee Kaka. Wanatupa sija mbaya kumbe kwao kumeozaMakete Njombe huko watu wanabanduana balaa,ukimwi upo juu kinoma,mpaka vilainishi wameperekewa wabanduane bila michubuko.
Naam kabisa Tanga watu wanadhani ni urojo Sana aisee wangejua watu hawapoi Ni show Kali Kama kawaidaHuko sahaihi aslimia 100 nimesoma advance pale tanga pale lushoto shambalai basi wanakuja watu wa mikoani especially chuga na moshi ,wengine mikoa kadhaa kama mara,bukoba,dar ndo kibao, sumbawanga basi wamekariri watu qa tanga ivi kikubwa walikutana na wadigokama unavyojua walikuwa wanaongea sana shule nzima kama wamikoani wanajikuta hawana sauti maana ubishani sana mbaya zaidi wana kibao wamezunguka wamerudi kuoa pale waty wa tanga
Wanadanganywa kule watu wanapiga kazi ila michezo kibao ya kiasili tena cheap achna na mambo sijui ya disco na ulevi kama watu wa kaskazini kwetu sio starehe utaonekana bwegebasi jamaa sasa nikasoma akili za watu wote pale kwa vil sijatembea mikoa yote
Watu wa dar walikuwa wanadhani wanadominate watu wote ila wakakuta ule ujanja wao sio bure ukikmuuliza mtu keramu la kete hajui achana na mambao ya kizee zile keramu za kupiga na kidole kwa vijanawamekutana na special wenzao
Watu warusha wanajifanya watu wako bussy na viatu vya mtumba tu story ixo za wazungu hawajui kule sisi wazee wa sandals tamaduni zetu za waarabu halafu manguo yao ya mitimba tunadharau pale tangamano wanakuja na vikadet vya dickies na mashati ya polisi tunacheka balaaa eti swaga
Moshi walikuwa walevi eti starehe hwajui kule starehe kula tu mapishi mi starehenilichek kinoma nawaona wa kawaida sana
Mikoa mingine walikuwa wako kimya kigoma walijikuta wabishi wakakutana na wadigo ni wabishi kufuru
Yote hayo tanga usije na swaga zako sijui mchapakazi watu wanapiga kazi kama kawa usikariri watu wanakaririshwa

Mkuu unafeli parefu Sana maana chuga hakuna mpya yoyote nimesoma chuga muda mrefu tu na sijaona kipya Mkuu, na nakushangaa unaposema kuhusu baiskeli maana swala la baiskeli shinyanga ndio mji mkuu wa baiskeli iweje Tanga!??tanga ni mji w ajabu sana...kwa mimi nilietoka mji wa kibabe arachuga huwa naishangaa sana tanga.kuna siku kipindi cha nyuma sana nililala night moja pale tanga beach resort nilishangaa sana kuona hotel kubwa ya nyota kama ile swimming pool zake wanaoga machokoraa na masoro!!nilistaajab sna na nikaishusha cheoo ile hotel.kingine tanga mjini baskeli nyingi mi sijawahi kuona jiji lina mabaskeli vile.asubuhi asubuhii ili ujue kumekucha unaskiaa UWONOOO UWONOOO.watoto hao wa kiarabu unasema ni choka mbaya wanadanga kwa waswahili wa bara tuu.mtu wa bara ukienda kule kwa kaz zako na uhakika wa pesa unao unafungiwa ndani na utawala nyumba nzima hadi mamamkwe