Ukiwa Tanga usiwe na haraka

Ukiwa Tanga usiwe na haraka

Niliwahi kwenda Pangani.

Nilipenda sana kile Kiswahili cha wanawake wa kule. Wana lafudhi tamu mnoo ya Kiswahili, hadi leo naisikia masikioni mwangu. Achana na Tanga mjini, Kiswahili chao kimeshapakwa mkorogo. Fika Pangani... mwanamke akikusemesha utatamani aendelee kuongea tu, ni burudani tosha kumsikiliza tu.

Kingine nilichonotice Pangani... asubuhi kukuta nazi zimevunjwa njiapanda ni kama jadi.

Wanawake si 'wachoyo' hata kidogo! Ni wakarimu sana. Ni wastaarabu.

Nitarudi Pangani. Nitaenda kuoa Tanga. Huko ndiko mapenzi yalipozaliwa.

Tanga raha tupu!!!

-Kaveli-
 
ukiwa kijana kuna wakati kuna purukushani lazima upitie, ili uje uwachore wajukuu wakiwa kwenye harakati zao..tumche Mungu pia tusijisahau sana duniani hapa tunapita tu...
Dunia ya sasa hao wajukuu hutawaona.
 
Likizo zangu nitakuwa naenda Tanga 🤣 😛
NIlifika Nyinda, nikakutana na kademu kakariiiiiiiiiiiiiiii design ya msomali hivi.
Nikakaomba namba kakanipa, mzigo kanachomoa.
Nikammwaga.

Ila ni kakali mazee.
 
Tanga ni kati ya mji wa kipekee sana hapa Tanzania.

Watu hawana haraka na hawajali kabisa. Watu hawaendi na muda na they don't care about it. Ukidrive town wanaona shida hata ku-overtake, sababu hana haraka.

Maduka yanachelewa sana kufunguliwa. Na pia yanawahi kufungwa. Watu hawana wivu wa maendeleo kabisa. Hata ukinunua gari lako zuri, watu hawana time nalo. Hawaoni improvement yako na hawajali.

Kila mwanamke unayekutana nae kavaa hijab, ukimuuliza umeolewa anasema hajaolewa. Na anaweza akakupa chochote, muda wowote na kwa namna yoyote. Tanga aisee hakuna haraka. Ukija huku hakikisha haufuati sana ratiba yako.

Life is simple!
vipi wadada jicho wanatoa?
 
Baada ya kuingia Tanga nikapata na lodge maeneo ya Sahare. Nikamtafuta bodaboda anipeleke kwenye "Wajasirimali" akanipeleka City centre ilipokua La Cassa Chika club karibu na posta/soko daah mademu wazee na wabovu sana japo jamaa aliwasifia kishenzi. Baadae anazuga ooh Leo hawajaja mademu wakali. Akadai Basi twende Pongwe (yapata 15kms eti Kuna mademu wa kisomali) Nilikataa kulipia boda kwa ujinga wake na kunipotezea muda. #Sitaki_ujinga#
Haahaha mkuu pale sehemu inategemea kukiwa na event au sikukuu panapendeza sana .

Au nenda sabasaba kule
 
Chief
Mimi nimezaliwa Tanga na kuishi mpaka utu uzima wangu huu
Sijawahi ona sifa hii au kusikia katika Mji wetu
Si mjini wala vijijini

Bali
Naona kwenye mitandao watu wakisema kwa wingi na kutoa sifa chafu hizi kwa wazawa wa Tanga

ila nilichojua, ni jambo moja tu
Wengi wenu, huwa mnajijua na kufahamiana katika upuuzi huu
Unaweza ukawa uko Tanga kimwili lakini kiuhalisia hauko Tanga


Mimi binafsi nimeishi huko 7 good years

Anachoongea mleta mada sawa kabisa
 
Haahaha mkuu pale sehemu inategemea kukiwa na event au sikukuu panapendeza sana .

Au nenda sabasaba kule
Nilichukua Bajaj akanipeleka barabara ya 8 aisee unajichagulia tu. Sema wamechanganyika na mapunga. Siku Ingine nikaenda pale karibu na Steshen Kuna lodge flan unawakuta hapo hapo.
**Nilielekezwa pengine panaitwa MABAWA, Pangani Road lakini kufika nakutana na vibanda tu.
 
Usisahau kuwa ndio kuna wanawake wazuli na warembo hasa wilaya ya mkinga huko, ila tahadhari ni muhimu kwa sababu kuna ukimwi wa kutosha yaani ni balaa....
Bora Tanga mjini Ila sio wadigo was mkinga yaani wale Ni Kama kusukuma nyoya
 
Back
Top Bottom