Ukiwa Tanga usiwe na haraka

Ukiwa Tanga usiwe na haraka

Chief
Mimi nimezaliwa Tanga na kuishi mpaka utu uzima wangu huu
Sijawahi ona sifa hii au kusikia katika Mji wetu
Si mjini wala vijijini

Bali
Naona kwenye mitandao watu wakisema kwa wingi na kutoa sifa chafu hizi kwa wazawa wa Tanga

ila nilichojua, ni jambo moja tu
Wengi wenu, huwa mnajijua na kufahamiana katika upuuzi huu

Nisaidie pia kuniulizia kwa hao Watu wako wa huko huko Tanga ni kwanini Wanawake wao wengi ( japo siyo wote ) wanapenda sana kupitia barabara za Vumbi na siyo zile za Lami? Wakishakujibu malizia Kuniulizia tena hao hao wana Tanga kuwa ni kwanini Wanaume zao wengi ( japo siyo wote ) wanapenda mno kwenda Kinyume na Maandiko ya Mwenyezi Mungu wawapo na Jinsia tofauti na Yao na hata wakiwa wao kwa wao? Nayasubiri Majibu yangu kutoka Kwako mwana Tanga na wana Tanga mliopo hapa. Nitashukuru.
 
Twendeni Tanga #twenzetuchumvini
IMG-20200824-WA0011.jpg


Sent from my SM-N960N using JamiiForums mobile app
 
Baada ya kuingia Tanga nikapata na lodge maeneo ya Sahare. Nikamtafuta bodaboda anipeleke kwenye "Wajasirimali" akanipeleka City centre ilipokua La Cassa Chika club karibu na posta/soko daah mademu wazee na wabovu sana japo jamaa aliwasifia kishenzi. Baadae ananiambia ooh twende Pongwe (yapata 15kms eti Kuna mademu wa kisomali) Nilikataa kulipia boda kwa ujinga wake na kunipotezea muda.
Nashindwa nikushauri nini sijui kila mtu na bahati yake au vipi
Ninachoweza kusema, namba sita yako kwangu ni namba 9 kwa ufupi sana mi nilifaidi mkuu
 
Tanga mie naona watu wanaisifiaga sana tuu labda sababu mie nimtu wa mtungi lakini mji umejaa Malaya sana kuna siku naelekea mitaa ya nyinda kula lunch nikakutana na vitoto Kama vya form two hivi vimekaa kichangu changu nikavistua vikajaa ila nikaona hawa watakuwa hatari nikawapa buku tano nkawaambia ntawapigia ikawa imeisha hyo
 
Hili Jambo linanishangaza Sana, maana mtu utakuta sio mzawa wa Tanga Wala hajawahi kufika ila vile amesikia habari za huko basi atazieneza na kutia chumvi zake nyingine nyingi.

Mimi ni mzawa wa Tanga na nimekulia Tanga, Mambo mengine kuhusu Tanga tunayashangaa yanavyovuma mno aisee maana ni tofauti kabisa na uhalisia.

Lakini kiukweli Tanga ni sehemu moja nzuri tulivu na isiyo na tafrani za kubughudhi, na kwa maendeleo watu wanapambana, swala la kupiga kazi watu wanapiga na ndio maana maisha yanaendelea na watu wanakula bata tena Bata mzinga sababu wanakidhi mahitaji yao.
 
Hapo kwenye wanawake wanakupa chochote popote imenifanya nitaman kufika Tanga
Hata hapo Dar hayo mambo yapo.
Inamaana Kaka hujawahi kufika Buza kwa Mpalange ? Hayo mambo hata Musoma nimeyakuta. Hata wakurrya miraba minne wanakamata kuta za nyumba kwa ridhaa zao kwa ujira mdogo tu.
Msiwapakazie wa Tanga
 
massage ya kiswahili wenyewe wanaita kusinga, hahahahaha Tanga kuna raha zake bwana kwa tunaopenda burudani....kilago chawekwa chini wenyewe waita kijamvi kidume unalazwa hahahahahaha lazima usahau kufa...me simo muoe vijana..
 
Msiwasingizie watu wa Tanga, ushoga upo kila mahala Tanzania kuanzia Arusha, Musoma, Mwanza, Songea mpaka Mtwara.. this is from practical knowledge - tumuombe Mungu atulindie vizazi vyetu na kutuepusha na hizi tabia pia.

Michezo michafu ya mabinti ipo kila kona Tanzania sio Tanga pekee tusiwaonee, ipo mikoa ukiambiwa tena afadhali ya Tanga aisee mabinti wanaachia tu with no fear..Tumuombe Mungu atuepushe na haya maujinga lakini pia tujitahidi kukemea kulinda maadili katika jamii zetu Tanzania nzima...
 
Hata hapo Dar hayo mambo yapo.
Inamaana Kaka hujawahi kufika Buza kwa Mpalange ? Hayo mambo hata Musoma nimeyakuta. Hata wakurrya miraba minne wanakamata kuta za nyumba kwa ridhaa zao kwa ujira mdogo tu.
Msiwapakazie wa Tanga
Hahahah
 
Kabla sijafika Tanga nilikuwa naamini sana story kama hizo, lakini nimeishi huko zaidi ya miaka miwili, hakuna vitu kama hivyo ni story za kusadikika tu.
Inategemea mkuu umekaa tanga sehemu gani, nenda tanga mjini maeneo ya chichi hadi nyumbani kwetu hotel, nenda tanga pazuri, bado hujaenda sokoni mgandini, mitaa ya mikanjuni, sahare, mabanda ya papa, makorora na barabara za namba. Tanga kila kitu, tena unaweza kudhani unaishuhudia sodoma na gomora mpya, hatari sana. Nakumbuka siku nilipotembelea forodhani saa mbili usiku, nilishangaa kukuta wanaume wamekaa kando ya barabara wanajiuza, nilitetemeka mwili mzima sikuamini nilichokiona
 
Back
Top Bottom