Kwa wanawake hali ni ngumu zaidi,maana wao hawatongozi.....yaani unasubiri mume bora akufuate huku unamiaka 30?[emoji51][emoji51]Ni kweli mkuu..Hata kwa wanawake iko hivyo hvyo
Shida ya wanaume ni kua wanachagua sana
Kwa wanawake hali ni ngumu zaidi,maana wao hawatongozi.....yaani unasubiri mume bora akufuate huku unamiaka 30?[emoji51][emoji51]Ni kweli mkuu..Hata kwa wanawake iko hivyo hvyo
Kweli kabisa yaani hata mimi hapa ninahitaji mwanamke wa kuoa ila ndio hivyo yaani hawapatikani kabisa.. naunganisha na ombi langu kwenye huu uzi, niko mwanza nina miaka 30s ila sijafika 34, niko serios nataka mwanamke wa kuoa jamani... email babumtz@gmail.com pia inbox au pm yangu iko wazi
Mkuu si umesema wasichagua,mbona tena unawaponda masingle mazaHuu uzi ni kama umenigusa. Kijana wangu alipata wife material mmoja, ila tatizo kijana akasema yeye hayupo tayari kuoa sasa mpaka miaka 2 ipite. Binti yeye alitaka angalau awe engaged wakati ule. Kijana akadinda. Binti ikabidi abwage manyanga. Kwa upande mwingine binti alikuwa 32 na kijana 30 wakati huo. Hii sikuipenda ingawa sikuonesha.
Kwa sasa after 5 years kijana anataka kuoa, amempata wa 29 lakini hana qualities kama yule wa kwanza. Kidogo anamhangaisha mpaka namhurumia.
Kwetu wenye mawazo ya kizee, tunaamini kuwa huwezi tafuta mke bali unatafutiwa mke au mume. Au inakuja bahati mbaya unajikuta ushaoa au kuolewa. Huwezi kumtafuta mke kama unachagua mitumba Karume. Huwa wakati mwingine tunapishana na wife material na tunaokota gharasa.
Jambo la muhimu si kuchagua uzuri au tako etc, ni kuangalia tabia tu, na kufanya tathimini (projections) kama huyo anaweza kukuvumilia mapungufu yako ili mpaka kifo kiwatenganishe. Kijana usiangalie ati K imesoma maili nyingi, hayo yatoe kichwani, kwani utampata wapi ambaye alikuwekea wewe tu. Kumbuka any success has a story to tell. Mpaka anafika hapo kuna mengi yamepita. Achana na mawazo ya kuchapiwa maana huwezi kuyaepuka ikiwa humfungi kiunoni kama mkanda wa sarawiri. Mchagua nazi huambulia koroma, ndo maana vijana wengi wanadondokea masingo maza.
Uhuru unao lakin hii ni forum comment yako ya kwanza ulisema wanawake ni WA kugonga nikakuuliza mama yako ni mwanamke naye pia ni WA kugongaNi lazima kujibiwa ndiyo lakini usiwe mwepesi sana kuita watu wajinga hata kama hukubaliani nao maana hatuwezi kufanana. Unaweza kutokubaliana na mtu na ukajibizana naye kwa heshima tu na ukaeleweka. Ukianzisha matusi nawe ukajibiwa kwa matusi basi usishangae!
Ku-edit comment au kuto-edit huo ni uhuru wangu usiuingilie. The core of my argument stands!
Na mimi nikakujibu kwamba unajua kuwa hiyo argument yako ni ya kitoto na self defeating kwa sababu hata mama yako naye yumo humo humo? Unalijua hilo?Uhuru unao lakin hii ni forum comment yako ya kwanza ulisema wanawake ni WA kugonga nikakuuliza mama yako ni mwanamke naye pia ni WA kugonga
Ghafla ukakimbilia kuedit comment yako ya Mara ya kwanza, point yangu ni kwamba usiwaaongeleee wanawake vibaya sababu wengine ni mama zetu na dada zetu
Sijakutukana nimekujibu kutokana na ulichopost Mara ya kwanza kwamba wanawake ni wakugonga ulijumuisha woteNa mimi nikakujibu kwamba unajua kuwa hiyo argument yako ni ya kitoto na self defeating kwa sababu hata mama yako naye yumo humo humo? Unalijua hilo?
Point yako ningeikubali kama usingekimbilia kunitukana kama vile wewe ndiye refa wa mawazo ya watu humu.
Wanawake ni mama zetu, dada zetu na shangazi zetu. Hili nadhani kila mtu analijua. Lakini hii peke yake haiwezi kuondoa haki ya wao kusemwa vibaya hata kama wanatupitisha katika maumivu makali ya kinyama. Wao ni malaika? Wanaume hatusemwi vibaya? Sisi siyo baba zao, kaka na wajomba zao? Au una-simp hapa wakuone wa maana?
Ukitaka mke mwema usiwe na paparaHahahaa du si ntaja oa mtoto wangu sasa
Ndiyo ulinitukana!Sijakutukana nimekujibu kutokana na ulichopost Mara ya kwanza kwamba wanawake ni wakugonga ulijumuisha wote
Nikuulize swali kwanin uliedit comment yako ya Mara kwanza kama ulikua sahii
Ndo ikaja point kuoa au kuwa kwenye mahusiano sio lazimaMnachagu na sisi tunachagua, la muhimu kuwa na mtu roho inapenda.
Wanawake wapo ila mapenzi ya mtandaoni hayadumu.
Embu kwanza kutafuta huko huko uliko inapendeza kupata mtu ulomuona face to face.
Kupata mwanaume roho inapenda ni ngumu.
Unakuta anaenipenda mimi hata staki kuona hata sms yake.
Ukicheki umri unakwenda na majukumu yamekuandama kwa hali hyo utulivu huwa zero kabisaUkitaka mke mwema usiwe na papara
Nimesema asichague K imetumika kiasi gani ila si K iliyototoa. Nadhani hukunisoma nikasomeka. Kuoa mtu na mwanaye ni sawa na kununua kiwanja chenye mgogoro!Mkuu si umesema wasichagua,mbona tena unawaponda masingle maza
Utampata tuUki
Ukicheki umri unakwenda na majukumu yamekuandama kwa hali hyo utulivu huwa zero kabisa
mwisho wa siku unaangukia mahala sio sahihi na hakika kumpata mke mwema nako ni kwa Neema[emoji848]
Yani me nimekata tamaa ya kuoa maana simpati wifeAt the same time in the same moment. Naipitia hii situation now. Na ugum ni pale wenye sifa za kuolewa sio wale uliowadhania mwanzo. Kupata girl friend ni Kitendo cha mafakika ila kupata wife ni muda unahitajika. Tuskurupuke mzee
Na ndo huwa iko hivyo unakopendwa hupendeki ila unapenda sehemu usiyopendwa... mapenzi ni kitu kingine aiseeMnachagu na sisi tunachagua, la muhimu kuwa na mtu roho inapenda.
Wanawake wapo ila mapenzi ya mtandaoni hayadumu.
Embu kwanza kutafuta huko huko uliko inapendeza kupata mtu ulomuona face to face.
Kupata mwanaume roho inapenda ni ngumu.
Unakuta anaenipenda mimi hata staki kuona hata sms yake.
Kiuhalisia Wanaume ni wengi kuliko wanawakeSi tulikubaliana wanawake wengi kuliko wanaume.?
Kiuhalisia Wanaume ni wengi kuliko wanawake
yamekuwa hayo piaKiuhalisia Wanaume ni wengi kuliko wanawake