Ukiwa na uhitaji wa mke wa kuoa humpati

Ukiwa na uhitaji wa mke wa kuoa humpati

Huo ni ukweli. Sio mwanaume tu. Hata mwanamke nae anapohitaji mume hampati.

Ni rahisi kupata mke ama mume ukiwa early 20s kuliko ukiwa 30s.

Jamii zenye akili zinalijua ndio maana wahindi na waarab ndoa kwao ni mapema sana..

Tena angalau uwe muislam unaweza pata binti aliyenyooka kwa urahisi kuliko ukiwa mkristo. ( mwanamke wa kiislam aliyeshika dini yupo more discipline kwa mumewe kuliko wa kikristo aliyeshika dini, huwa anaheshimu kanisa na mchungaj kuliko mumewe)
Lengo la kuoana mapema ni
1.Uhimili majukumu ya ndoa mapema
2.Mpite wote kwa pamoja kipindi cha ujana sio wewe una miaka 35 mwenzio ana 23 we unataka maendeleo,mwenzio anataka starehe.
 
Lengo la kuoana mapema ni
1.Uhimili majukumu ya ndoa mapema
2.Mpite wote kwa pamoja kipindi cha ujana sio wewe una miaka 35 mwenzio ana 23 we unataka maendeleo,mwenzio anataka starehe.
Ndo sio lazima japokua sipondi watu walioko kwenye ndoa au ambao wako desperate na ndoa

Zama zimebadilika wanawake wanapenda Wanaume walioko kwenye ndoa mwaka huu Nina mifano ya wanawake ninaowajua wamezaa na waume za watu

Tukubali maisha single yanawezekana na ni mazuri tu
 
Saka hela tuu, ukiwa hata na miaka 60 unachagua unachotaka, wanawake wa sasa hivi karibia wote wehu wehu hawana maana.. unaweza fikiri una mtu ndani kumbe unakaa na mwehu
Uzi unaweza kufungwa sasa. Umemaliza kila kitu King. Wanawake wa kuoa hakuna labda kama una pesa. Kimsingi kinachooa ni pesa na siyo wewe muoaji. Vinginevyo hata wa kut*mba tu utapata shida sana 🚮🚮🚮
 
Uzi unaweza kufungwa sasa. Umemaliza kila kitu King. Wanawake wapo wa kut*mba tu lakini wa kuoa kabisa kuwa wenza and do life together hakuna. Tuwat*ombeni tu maana hakuna namna! 🚮🚮🚮
We ni mjinga Sana wanawake wa kuoa wapo labda kama wewe hujatokana na familia
 
Ndo sio lazima japokua sipondi watu walioko kwenye ndoa au ambao wako desperate na ndoa

Zama zimebadilika wanawake wanapenda Wanaume walioko kwenye ndoa mwaka huu Nina mifano ya wanawake ninaowajua wamezaa na waume za watu

Tukubali maisha single yanawezekana na ni mazuri tu
Mwanaume pekee mwenye upendo wa dhati ni mume wa mtu pekee,ukata pesa,utunza,abani,aichakazi mashine
 
Nina uhuru wa kutoa maoni yangu kwa uhuru kabisa kama wewe ulivyo na uhuru wa kuonyesha ujinga wako hadharani 🚮🚮🚮
Unavyosema wanawake wote ni wakuwagonga na mama yako naye pia ni mwanamke it means naye pia Yuko kwenye hilo kundi unalosema ni wakugonga
 
Ndo sio lazima japokua sipondi watu walioko kwenye ndoa au ambao wako desperate na ndoa

Zama zimebadilika wanawake wanapenda Wanaume walioko kwenye ndoa mwaka huu Nina mifano ya wanawake ninaowajua wamezaa na waume za watu

Tukubali maisha single yanawezekana na ni mazuri tu

Hakuna mwanamke anaependa mume wa mtu kwa sababu tofauti na uhakika wa kupata matunzo ama matumizi na kulelewa.. hakuna mwanamke anaezaa na mume wa mtu ambaye ni maskiniii

Wanaume wengi wenye kipato kizuri huwa wanakuwa na ndoa.. sasa wanawake wa mtaani nao wanataka matunzo.
 
Mkeo BADO hajazaliwa yaani ndio KWANZA baba mkwe wako YUKO form two subili amalize kusoma aoe then akuzalie mke[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unavyosema wanawake wote ni wakuwagonga na mama yako naye pia ni mwanamke it means naye pia Yuko kwenye hilo kundi unalosema ni wakugonga
Cheap, weak, simpy, childish, simplistic, eeoverused, outdated and overgeneralized argument that, in essence, it also includes your mom 😳😳😳

Wewe kama wa kuoa unawaona huko uliko waoe tu wala hakuna haja ya kuleta makasirikio na kuitana ujinga kama vile una mamlaka ya ku-moderate hoja na mawazo ya watu hapa 🚮🚮🚮
 
Hakuna mwanamke anaependa mume wa mtu kwa sababu tofauti na uhakika wa kupata matunzo ama matumizi na kulelewa.. hakuna mwanamke anaezaa na mume wa mtu ambaye ni maskiniii

Wanaume wengi wenye kipato kizuri huwa wanakuwa na ndoa.. sasa wanawake wa mtaani nao wanataka matunzo.
Wako wenye vipato vizuri na bado wanakaziwa na wanawake hivi unajua akili za wanawake
 
Cheap, weak, simpy, childish, overused, outdated and overgeneralized argument that, in essence, it also includes your mom 😳😳😳

Wewe kama wa kuoa unawaona huko uliko waoe tu wala hakuna haja ya kuleta makasirikio na kuitana ujinga kama vile una mamlaka ya ku-moderate hoja na mawazo ya watu hapa 🚮🚮🚮
Mkuu hii ni forum lazima ujibiwe labda usicomment ndo maana Kuna sehemu ya kureply

Mbona umeedit Ile comment yako ya Mara ya kwanza umefanya vile Baada ya kugundua umekosea
 
Kweli kabisa yaani hata mimi hapa ninahitaji mwanamke wa kuoa ila ndio hivyo yaani hawapatikani kabisa.. naunganisha na ombi langu kwenye huu uzi, niko mwanza nina miaka 30s ila sijafika 34, niko serios nataka mwanamke wa kuoa jamani... email babumtz@gmail.com pia inbox au pm yangu iko wazi
Miaka 30 unajila stress hizo.
Mi nilizaliwa baba akiwa na 41 akanisomesha hadi chuo kikuuu,......sijisifu ila nilichojifunza lengo kubwa ndoa ni watoto na wala si mke,.......na watoto hawali umri au udogo wako,wanahitaji baba aliyestable zaidi kiakili na kiuchumi
 
Mkeo BADO hajazaliwa yaani ndio KWANZA baba mkwe wako YUKO form two subili amalize kusoma aoe then akuzalie mke[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hahahaa du si ntaja oa mtoto wangu sasa
 
Mkuu hii ni forum lazima ujibiwe labda usicomment ndo maana Kuna sehemu ya kureply

Mbona umeedit Ile comment yako ya Mara ya kwanza umefanya vile Baada ya kugundua umekosea
Ni lazima kujibiwa ndiyo lakini usiwe mwepesi sana kuita watu wajinga hata kama hukubaliani nao maana hatuwezi kufanana. Unaweza kutokubaliana na mtu na ukajibizana naye kwa heshima tu na ukaeleweka. Ukianzisha matusi nawe ukajibiwa kwa matusi basi usishangae!

Ku-edit comment au kuto-edit huo ni uhuru wangu usiuingilie. The core of my argument stands!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom