Ukiwa na uhitaji wa mke wa kuoa humpati

Ukiwa na uhitaji wa mke wa kuoa humpati

Huo ni ukweli. Sio mwanaume tu. Hata mwanamke nae anapohitaji mume hampati.

Ni rahisi kupata mke ama mume ukiwa early 20s kuliko ukiwa 30s..

Jamii zenye akili zinalijua ndio maana wahindi na waarab ndoa kwao ni mapema sana..

Tena angalau uwe muislam unaweza pata binti aliyenyooka kwa urahisi kuliko ukiwa mkristo
Kweli kabisa kuoa mapema ndio dili laki ukija pata mke ukiwa 30+ ni majanga....ni ili mradi uonekane umeoa pia
 
Nimejaa tele mamdogo. Aisee ngoja niutafute huo uzi. The struggle is realt kwa both sides japo wenzetu sio rahisi kulikiri hilo; ila wanapambana vizuri tu

Ila nimemiss zile enzi zetu na kina Espy Atoto Nalendwa NANDERA Neybright MBITIYAZA Ulweso na mawife material wengine; tukivamia uzi ni shughuli imekwisha. Tuendelee kuzeeka kwa utulivu tu😁😁😁
Hahaaaa!! The struggle is real my dear, ni vile tu hawataki kukiri.

Daah those were good days aisee!! Kweli tuzeeke tu.
 
Wakati mwingine maisha yanakosa definition kabisa sijui kama kuna mtu mwingine imewahi kumtokea kama mimi,binafsi kipindi sina mpango wa kuoa nlikua na marafiki kadhaa wa kike tukisaidiana kwenye shida na raha ambapo kwenye hiyo cycle nliamini naweza pata Mchumba/mke.

Ila mambo yakaja kuwa kinyume kama unavyojua hawa dada zetu ukipotezana naye mwaka tu kuja kuonana either ameolewa au ana mtoto/watoto hicho ndicho kilichotokea baada ya kupotezana na marafiki zangu.

Imefika wakati miaka imekwenda natafuta mchumba aje awe mama mjengo ila bila bila nakumbuka wale marafiki wa zamani ndio wengine washaoelewa na wengine wana watoto.

Kinachobaki ni kujipa moyo ipo siku Yes nami ntapata mama mjengo wangu.
At the same time in the same moment. Naipitia hii situation now. Na ugum ni pale wenye sifa za kuolewa sio wale uliowadhania mwanzo. Kupata girl friend ni Kitendo cha mafakika ila kupata wife ni muda unahitajika. Tuskurupuke mzee
 
Nakupa Siri hii ya Maisha ambayo nilipewa na mzee yuko na Miaka kama 80 na kitu nilikuwa nakaa nae sema alikuj kufa akiwa na miaka 90...

Yule mzee alikuwa ananiambia hivi "Maisha yako automatic mjukuu wangu yaani unavyoona vyote hivi vinatokea kama viko scripted mfano leo wewe una muwaza mwanamke fulani ila kumbe hakuna uwezekano kabisa wa wewe Kuna kumuoa na unaweza kuja kumsahau pembeleni utakapokuja pata soulmate wako na mtaoana automatic haijalishi ni Lin?"

Kingine hata Maisha si unajiona leo uko mkoa fulani unaishi Maisha fulani inawezekana miaka kadhaa ukaenda mkoa mwingine na huko utakuwa na Maisha mengine kabisa .Na utakuja kubaki story kuwa nliisha sehemu fulani hata kama ndo home kwenu.

Point yangu wote tunaokutana nao kweny Maisha ni sehemu ya historia yenu kama tuliwai kuwa pamoja ila yupo ambaye utakuwa nae katika ndoa ambaye mtaaandika historia pamoja ,kingine usiogope Maisha haya Mimi binafsi wanangu wa karibu kama watatu tumekuwa pamoja nishazika wawili nimebaki Mimi yaani watu maskani tulikaa tulikuwa kibao sasa hakuna siti jamaa wawili wa karibu wanakufa wengine wako south na huko wamepata wake washao.

Wewe usiogope kuhusu kupata mchumba na wala usiwaze hakuna mtu anakufautilia binadamu watakusema ila tambua one day Mimi na wewe tutakufa na itabaki story tu mapenzi ni sehemu ya Maisha .

Inshallah utapata ndoa ya halali na utasahau yote haijalishi ni Lin ,kupata ndoa salama kama mafanikio hata upate na miaka 50 means kuendelea hapo utainjoy mpaka unakufa .
Daaa,tucomment twako nakuonaga chiz kweli....lakini kumbe una madini balaaa❤️❤️❤️❤️❤️❤️🤜
 
Huo ni ukweli. Sio mwanaume tu. Hata mwanamke nae anapohitaji mume hampati.

Ni rahisi kupata mke ama mume ukiwa early 20s kuliko ukiwa 30s.

Jamii zenye akili zinalijua ndio maana wahindi na waarab ndoa kwao ni mapema sana..

Tena angalau uwe muislam unaweza pata binti aliyenyooka kwa urahisi kuliko ukiwa mkristo
Lahaula hujui usemalo, tabia haina dini bablai au labda uislam wa Iran na Saudia.
Lakini bongo hii tusidanganyane
 
Nakupa Siri hii ya Maisha ambayo nilipewa na mzee yuko na Miaka kama 80 na kitu nilikuwa nakaa nae sema alikuj kufa akiwa na miaka 90...

Yule mzee alikuwa ananiambia hivi "Maisha yako automatic mjukuu wangu yaani unavyoona vyote hivi vinatokea kama viko scripted mfano leo wewe una muwaza mwanamke fulani ila kumbe hakuna uwezekano kabisa wa wewe Kuna kumuoa na unaweza kuja kumsahau pembeleni utakapokuja pata soulmate wako na mtaoana automatic haijalishi ni Lin?"

Kingine hata Maisha si unajiona leo uko mkoa fulani unaishi Maisha fulani inawezekana miaka kadhaa ukaenda mkoa mwingine na huko utakuwa na Maisha mengine kabisa .Na utakuja kubaki story kuwa nliisha sehemu fulani hata kama ndo home kwenu.

Point yangu wote tunaokutana nao kweny Maisha ni sehemu ya historia yenu kama tuliwai kuwa pamoja ila yupo ambaye utakuwa nae katika ndoa ambaye mtaaandika historia pamoja ,kingine usiogope Maisha haya Mimi binafsi wanangu wa karibu kama watatu tumekuwa pamoja nishazika wawili nimebaki Mimi yaani watu maskani tulikaa tulikuwa kibao sasa hakuna siti jamaa wawili wa karibu wanakufa wengine wako south na huko wamepata wake washao.

Wewe usiogope kuhusu kupata mchumba na wala usiwaze hakuna mtu anakufautilia binadamu watakusema ila tambua one day Mimi na wewe tutakufa na itabaki story tu mapenzi ni sehemu ya Maisha .

Inshallah utapata ndoa ya halali na utasahau yote haijalishi ni Lin ,kupata ndoa salama kama mafanikio hata upate na miaka 50 means kuendelea hapo utainjoy mpaka unakufa .
Madini
 
Bado hujakutana na wale wa block 41 aka kikosi cha mizinga(hawa ndio wengi), unatongoza saa 3 asubuhi, saa nne ana matatizo lukuki mpaka unaogopa na kuhisi huyu kwenye ndoa tutatoboa kweli..!! maana ana tabia za kimalaya.
Hiki kikosi cha mizinga ni pure wafanya biashara na migo migo na huwezi kumuweka ndani kwani ukiishiwa na uchumba unakufa.
 
Wakati mwingine maisha yanakosa definition kabisa sijui kama kuna mtu mwingine imewahi kumtokea kama mimi,binafsi kipindi sina mpango wa kuoa nlikua na marafiki kadhaa wa kike tukisaidiana kwenye shida na raha ambapo kwenye hiyo cycle nliamini naweza pata Mchumba/mke.

Ila mambo yakaja kuwa kinyume kama unavyojua hawa dada zetu ukipotezana naye mwaka tu kuja kuonana either ameolewa au ana mtoto/watoto hicho ndicho kilichotokea baada ya kupotezana na marafiki zangu.

Imefika wakati miaka imekwenda natafuta mchumba aje awe mama mjengo ila bila bila nakumbuka wale marafiki wa zamani ndio wengine washaoelewa na wengine wana watoto.

Kinachobaki ni kujipa moyo ipo siku Yes nami ntapata mama mjengo wangu.
Hakikisha siku zote unazungukwa na warembo wazuri, si chini ya watatu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom