Ukiwa na uhitaji wa mke wa kuoa humpati

Ukiwa na uhitaji wa mke wa kuoa humpati

Mimi nina mwanamke mzuri, mtiifu, mwaminifu na hana tamaa kinachonikwamisha kumuoa ni pesa tu ndo sina kwa sasa.. naona shuhuda za watu wenye pesa wanao'struggle kupata wife material. Kweli maisha hayakupi kila kitu
Mungu fundi hakupi vyote na hakunyimi vyote.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka sana hiyo Comment...hadi ikabidi nisome Uzi unaeleza nini?

Salama Mwehu mwenzangu[emoji28][emoji28]

Unadhani ndani unakaa na mtu kumbe mwehu[emoji28][emoji28]Lol....
🤣🤣🤣🤣🤣
Hii ni level nyingine ya kuchokwa aiseeh!!!
 
Wengi wetu tunakutana na watu sahihi katika wakati usio sahihi shida ilipo ukiwa huna wazo la kuoa Wala kuolewa utakutana na Mtu sahihi lkn kipind unahitaji kuoa au kuolewa huwaoni

Chamsingi TUSIFIKE MBELE KUMTAFUTA MTU TILIYEMUACHA NYUMA
 
Nakula popcorn na chai hapa,interesting topic.
 
Huo ni ukweli. Sio mwanaume tu. Hata mwanamke nae anapohitaji mume hampati.

Ni rahisi kupata mke ama mume ukiwa early 20s kuliko ukiwa 30s.

Jamii zenye akili zinalijua ndio maana wahindi na waarab ndoa kwao ni mapema sana..

Tena angalau uwe muislam unaweza pata binti aliyenyooka kwa urahisi kuliko ukiwa mkristo. ( mwanamke wa kiislam aliyeshika dini yupo more discipline kwa mumewe kuliko wa kikristo aliyeshika dini anaheshimu kanisa na mchungaj kuliko mumewe)
Kweli kabisa mkuu
 
Ila kweli mdada wa kikristo akishafikisha miaka 26 wanapoteza uwife material kabisa na hawatabiriki kabisa wanakuwa na taamaa ya vitu ile kuja kushtuka tayari wameshazalishwa na mkurunge ile ndiyo sasa wanawaza luwa family husband tayari wameshavugwa kicha hakisomi tena wanabaki kwenda kwenye makanisa hata wanachokiomba mungu awatendee hakielewi
Hawa wadada wanaokibimbilia makanisani kutafuta mahusiano huwa si wazuri hata kidogo. Wengi wanakwenda kutafuta miujiza ila vichwani bado hawapo sawa. Majanaba yao huwa wanayaacha mlangoni wanasubiria watoke wayabebelee tena wanarudi nayo mtaani kama kawaida.
 
Heaven Sent Hivi mamdogo upo? Unakumbuka kwenye uzi mmoja tulikua tunawambia wanaume pia wanapata shida kupata wanawake wakuoa , wakatubishia, wakabisha na wakabisha tena. Wanaume kuna muda ego zao zinaongea sijui.....

Its true mpendwa hilo tunakutana nalo sana tu tena unakuta mtu unachecklist yako haina hata mambo mengi ila sasa wa kuwa mke ndio hapatikani
 
Wanawake wa kuoa wapo wengi ila tatizo lenu mnataka malaika semeni tu ukweli

Hapana boss kila mtu ana vigezo vyake tena vya kawaida tu nahisi hata wewe unavyo vyako
 
Kweli kabisa kuoa mapema ndio dili laki ukija pata mke ukiwa 30+ ni majanga....ni ili mradi uonekane umeoa pia

Point sana hii kaka ukifikia hiyo age ni ngumu sana kumpata uliyekua unamhitaji vizuri kuwahi kama umemaliza baadhi ya majukumu yako
 
At the same time in the same moment. Naipitia hii situation now. Na ugum ni pale wenye sifa za kuolewa sio wale uliowadhania mwanzo. Kupata girl friend ni Kitendo cha mafakika ila kupata wife ni muda unahitajika. Tuskurupuke mzee

Tupeane mbinu boss, hali inakua tete day afta day
 
Mimi nina mwanamke mzuri, mtiifu, mwaminifu na hana tamaa kinachonikwamisha kumuoa ni pesa tu ndo sina kwa sasa.. naona shuhuda za watu wenye pesa wanao'struggle kupata wife material. Kweli maisha hayakupi kila kitu

Kaka shikilia hapo hapo, kuna maujinga flani tunafanya wanaume hasa ukijua mwanamke anakupenda mwisho wa siku unampoteza halafu kuja kumpata mwingine aloo ni kisanga
 
Huu uzi ni kama umenigusa. Kijana wangu alipata wife material mmoja, ila tatizo kijana akasema yeye hayupo tayari kuoa sasa mpaka miaka 2 ipite. Binti yeye alitaka angalau awe engaged wakati ule. Kijana akadinda. Binti ikabidi abwage manyanga. Kwa upande mwingine binti alikuwa 32 na kijana 30 wakati huo. Hii sikuipenda ingawa sikuonesha.

Umemamaliza yote ndugu yangu we ar too selective then mwisho wa siku tunaanza kuhangaika
 
Na ukishao au olewa ndo wenye sifa kibao wanaonekana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom