Ukiwa na uhitaji wa mke wa kuoa humpati

Ukiwa na uhitaji wa mke wa kuoa humpati

Nim
Nakupa Siri hii ya Maisha ambayo nilipewa na mzee yuko na Miaka kama 80 na kitu nilikuwa nakaa nae sema alikuj kufa akiwa na miaka 90...

Yule mzee alikuwa ananiambia hivi "Maisha yako automatic mjukuu wangu yaani unavyoona vyote hivi vinatokea kama viko scripted mfano leo wewe una muwaza mwanamke fulani ila kumbe hakuna uwezekano kabisa wa wewe Kuja kumuoa na unaweza kuja kumsahau mbeleni utakapokuja pata soulmate wako na mtaoana automatic haijalishi ni Lin?"

Kingine hata Maisha si unajiona leo uko mkoa fulani unaishi Maisha fulani inawezekana miaka kadhaa ukaenda mkoa mwingine na huko utakuwa na Maisha mengine kabisa .Na itakuja kubaki story kuwa nliisha sehemu fulani hata kama ndo home kwenu.

Point yangu wote tunaokutana nao kweny Maisha ni sehemu ya historia yety kama tuliwai kuwa pamoja ila yupo ambaye utakuwa nae katika ndoa ambaye mtaaandika historia pamoja ,kingine usiogope Maisha haya Mimi binafsi wanangu wa karibu kama watatu tumekuwa pamoja nishazika wawili nimebaki Mimi yaani watu maskani tulikaa tulikuwa kibao sasa hakuna siti jamaa wawili wa karibu wanakufa wengine wako south na huko wamepata wake washaoa.

Wewe usiogope kuhusu kupata mchumba na wala usiwaze hakuna mtu anakufuatilia binadamu watakusema ila tambua one day Mimi na wewe tutakufa na itabaki story tu mapenzi ni sehemu ya Maisha .

Inshallah utapata ndoa ya halali na utasahau yote haijalishi ni Lin? ,kupata ndoa salama kama mafanikio hata upate na miaka 50 means kuendelea hapo utainjoy mpaka unakufa .
Nimesoma mpaka mwisho Mkuu nimejikuta napata nguvu ya kusimama kuendelea kupambana
Barikiwa sana mkuu
 
Bwana bwana!!
Mwehu Makiwendo nakusabahi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka sana hiyo Comment...hadi ikabidi nisome Uzi unaeleza nini?

Salama Mwehu mwenzangu[emoji28][emoji28]

Unadhani ndani unakaa na mtu kumbe mwehu[emoji28][emoji28]Lol....
 
😀😀😀 ukikuta mtu ana maroon yake imevaa pirrali sio mwehu, ila kumpata sasa kama kutafuta kitu cha tahamani sana chini ya ardhi
 
Si mke tu! Hata chochote katika maisha!

Chakufanyaa.
1. Weka lengo na andaa mazingira
2. Usitegemeee kama itatokeaa maana, wala usiangalia muda... (good things takes time)
3. Usimwambie mtu yeyote...
4. Usiwe na haraka
5. Weka malengo mengine na fanyia kazi
6. Usitegemee chochote kama itatokea maana ukishategemea umeumia

Siri hii.
Ndio maana waganga wanakwambiaa usimwambie mtu, wala mtu asione
 
Mimi nina mwanamke mzuri, mtiifu, mwaminifu na hana tamaa kinachonikwamisha kumuoa ni pesa tu ndo sina kwa sasa.. naona shuhuda za watu wenye pesa wanao'struggle kupata wife material. Kweli maisha hayakupi kila kitu
Hongera husimwache mwanamke anaye kuwa nawe kwenye changamoto za uchumi kwani wapo wachache sana.
 
Wanawake wa kuoa wapo wengi ila tatizo lenu mnataka malaika semeni tu ukweli
Huu uzi ni kama umenigusa. Kijana wangu alipata wife material mmoja, ila tatizo kijana akasema yeye hayupo tayari kuoa sasa mpaka miaka 2 ipite. Binti yeye alitaka angalau awe engaged wakati ule. Kijana akadinda. Binti ikabidi abwage manyanga. Kwa upande mwingine binti alikuwa 32 na kijana 30 wakati huo. Hii sikuipenda ingawa sikuonesha.

Kwa sasa after 5 years kijana anataka kuoa, amempata wa 29 lakini hana qualities kama yule wa kwanza. Kidogo anamhangaisha mpaka namhurumia.

Kwetu wenye mawazo ya kizee, tunaamini kuwa huwezi tafuta mke bali unatafutiwa mke au mume. Au inakuja bahati mbaya unajikuta ushaoa au kuolewa. Huwezi kumtafuta mke kama unachagua mitumba Karume. Huwa wakati mwingine tunapishana na wife material na tunaokota gharasa.

Jambo la muhimu si kuchagua uzuri au tako etc, ni kuangalia tabia tu, na kufanya tathimini (projections) kama huyo anaweza kukuvumilia mapungufu yako ili mpaka kifo kiwatenganishe. Kijana usiangalie ati K imesoma maili nyingi, hayo yatoe kichwani, kwani utampata wapi ambaye alikuwekea wewe tu. Kumbuka any success has a story to tell. Mpaka anafika hapo kuna mengi yamepita. Achana na mawazo ya kuchapiwa maana huwezi kuyaepuka ikiwa humfungi kiunoni kama mkanda wa sarawiri. Mchagua nazi huambulia koroma, ndo maana vijana wengi wanadondokea masingo maza.
 
Na kwanini utuite Wehu lakini?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🫣🫣🫣 hamueleweki mnataka nini .. yani kuna wengine kuishi nao kama umefungua wodi ya kuchaa nyumbani 🤣🤣🤣 ila nyie ni mama zetu tunawependa hivyo hivyo tu
 
Huu uzi ni kama umenigusa. Kijana wangu alipata wife material mmoja, ila tatizo kijana akasema yeye hayupo tayari kuoa sasa mpaka miaka 2 ipite. Binti yeye alitaka angalau awe engaged wakati ule. Kijana akadinda. Binti ikabidi abwage manyanga. Kwa upande mwingine binti alikuwa 32 na kijana 30 wakati huo. Hii sikuipenda ingawa sikuonesha.

Kwa sasa after 5 years kijana anataka kuoa, amempata wa 29 lakini hana qualities kama yule wa kwanza. Kidogo anamhangaisha mpaka namhurumia.

Kwetu wenye mawazo ya kizee, tunaamini kuwa huwezi tafuta mke bali unatafutiwa mke au mume. Au inakuja bahati mbaya unajikuta ushaoa au kuolewa. Huwezi kumtafuta mke kama unachagua mitumba Karume. Huwa wakati mwingine tunapishana na wife material na tunaokota gharasa.

Jambo la muhimu si kuchagua uzuri au tako etc, ni kuangalia tabia tu, na kufanya tathimini (projections) kama huyo anaweza kukuvumilia mapungufu yako ili mpaka kifo kiwatenganishe. Kijana usiangalie ati K imesoma maili nyingi, hayo yatoe kichwani, kwani utampata wapi ambaye alikuwekea wewe tu. Kumbuka any success has a story to tell. Mpaka anafika hapo kuna mengi yamepita. Achana na mawazo ya kuchapiwa maana huwezi kuyaepuka ikiwa humfungi kiunoni kama mkanda wa sarawiri. Mchagua nazi huambulia koroma, ndo maana vijana wengi wanadondokea masingo maza.
Yeah hakika mkuu

Vijana wa siku hizi wanajifanya wanajua kuchagua na kusoma mileage za nanilii ati wanataka malaika

Anyway tusiwalazimishe tuwaache wachague mafungu yao wanayoona wao yanawafaa wakahangaike nayo
 
Mawivu yamewajaa! Wazungu wanatofautisha kati ya Love na Lust. Na katika kulana wengi ni Lust wakati waume zao wana love. Kubaliana na love na iponde lust
 
Wakati mwingine maisha yanakosa definition kabisa sijui kama kuna mtu mwingine imewahi kumtokea kama mimi,binafsi kipindi sina mpango wa kuoa nlikua na marafiki kadhaa wa kike tukisaidiana kwenye shida na raha ambapo kwenye hiyo cycle nliamini naweza pata Mchumba/mke.

Ila mambo yakaja kuwa kinyume kama unavyojua hawa dada zetu ukipotezana naye mwaka tu kuja kuonana either ameolewa au ana mtoto/watoto hicho ndicho kilichotokea baada ya kupotezana na marafiki zangu.

Imefika wakati miaka imekwenda natafuta mchumba aje awe mama mjengo ila bila bila nakumbuka wale marafiki wa zamani ndio wengine washaoelewa na wengine wana watoto.

Kinachobaki ni kujipa moyo ipo siku Yes nami ntapata mama mjengo wangu.
Wakati unatakiwa ulikuwa unanyodo baki mwenyewe sio mbaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom