Life2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,387
- 4,880
Wakati mwingine maisha yanakosa definition kabisa sijui kama kuna mtu mwingine imewahi kumtokea kama mimi, binafsi kipindi sina mpango wa kuoa nlikuwa na marafiki kadhaa wa kike tukisaidiana kwenye shida na raha ambapo kwenye hiyo cycle nliamini naweza pata Mchumba/mke.
Ila mambo yakaja kuwa kinyume kama unavyojua hawa dada zetu ukipotezana naye mwaka tu kuja kuonana either ameolewa au ana mtoto/watoto hicho ndicho kilichotokea baada ya kupotezana na marafiki zangu.
Imefika wakati miaka imekwenda natafuta mchumba aje awe mama mjengo ila bila bila nakumbuka wale marafiki wa zamani ndio wengine washaoelewa na wengine wana watoto.
Kinachobaki ni kujipa moyo ipo siku Yes nami ntapata mama mjengo wangu.