Nakupa Siri hii ya Maisha ambayo nilipewa na mzee yuko na Miaka kama 80 na kitu nilikuwa nakaa nae sema alikuj kufa akiwa na miaka 90...
Yule mzee alikuwa ananiambia hivi "Maisha yako automatic mjukuu wangu yaani unavyoona vyote hivi vinatokea kama viko scripted mfano leo wewe una muwaza mwanamke fulani ila kumbe hakuna uwezekano kabisa wa wewe Kuja kumuoa na unaweza kuja kumsahau mbeleni utakapokuja pata soulmate wako na mtaoana automatic haijalishi ni Lin?"
Kingine hata Maisha si unajiona leo uko mkoa fulani unaishi Maisha fulani inawezekana miaka kadhaa ukaenda mkoa mwingine na huko utakuwa na Maisha mengine kabisa .Na itakuja kubaki story kuwa nliisha sehemu fulani hata kama ndo home kwenu.
Point yangu wote tunaokutana nao kweny Maisha ni sehemu ya historia yety kama tuliwai kuwa pamoja ila yupo ambaye utakuwa nae katika ndoa ambaye mtaaandika historia pamoja ,kingine usiogope Maisha haya Mimi binafsi wanangu wa karibu kama watatu tumekuwa pamoja nishazika wawili nimebaki Mimi yaani watu maskani tulikaa tulikuwa kibao sasa hakuna siti jamaa wawili wa karibu wanakufa wengine wako south na huko wamepata wake washaoa.
Wewe usiogope kuhusu kupata mchumba na wala usiwaze hakuna mtu anakufuatilia binadamu watakusema ila tambua one day Mimi na wewe tutakufa na itabaki story tu mapenzi ni sehemu ya Maisha .
Inshallah utapata ndoa ya halali na utasahau yote haijalishi ni Lin? ,kupata ndoa salama kama mafanikio hata upate na miaka 50 means kuendelea hapo utainjoy mpaka unakufa .