Ukiwa na pesa hayaji mapenzi

Ukiwa na pesa hayaji mapenzi

But that is speaking from my imagination...sijawahi kuwa na Mzee..heheheeee!

^^
If so then.. Kuna kitu unakosa katika mapenzi, na siku ukimpata anaejua your weak point in love, utapoteza fahamu!
^^
 
Wewe ni Me au ke? Maana naona kuna kujihami hapa. Kawaida urafiki ni kama definition ya Umalaya ilivyo 'A ana kitu B anahitaji. B naye ana kitu A anahitaji, wanakutana na kutrade' Hii iwe ni security na k au pesa na k. Bila kuwa na common interest urafiki haupo. Sasa ndugu yangu unapenda free P na ugharamiwe wakati binti anataka pesa ili ajikimu hapo urafiki utakuwepo? Lara 1 njoo pande hii

kwa hiyo unataka kutuambia kwamba mapenzi ni BIASHARA na kwamba K ni commodity au?
 
Watu wazima wanajua kubembeleza Wallahi.....yani mtoto unabembelezwa hadi unajiona unapaa..
Mapenzi ya vijana stress tupu, mara kakukaripia, mara kanuna, mara kakupiga...inahuu? Nani asiyetaka utulivu?
Mtuwache jamaniiiii!

Vijana wa jana ndio wazee wa leo.Vijana wa leo ndio wazee wa kesho.
 
Hi , Hii ni kwa mtazamo wangu, maana kuna wimbi kubwa la wadada kukimbilia wanaumme (wazee) wenye pesa na vitu vya thamani, soon hao wazee wakifulia hao wadada hawaendelei kua nao tena.

jamani hao si zaidi ya machangudoa wajipangao barabarani? Maana wenyewe wako open, siyo kama hawa wanaojiuza Indirect.
Tujadili hili kwa ungwana wakuu.

Mwanaume mwenye pesa atafuatwa na wanawake wengi kwa namna ile ile mwanamke nzuri anavyofuatwa na wanaume wengi. Ya kwanza ni tamaa ya pesa na ya pili ni tamaa ya ngono. Hali halisi ya maisha ndivyo ilivyo.
 
Kutokana na upungufu wa wanaume,vizee ndio option pendwa Kwa sasa!!
 
Watu wazima wanajua kubembeleza Wallahi.....yani mtoto unabembelezwa hadi unajiona unapaa..
Mapenzi ya vijana stress tupu, mara kakukaripia, mara kanuna, mara kakupiga...inahuu? Nani asiyetaka utulivu?
Mtuwache jamaniiiii!

Mzee lazima akubembeleze Maana Ndio silaha yake ya pekee aliyonayo kukunasa... Mkae mkijua tunawabembeleza kinafiki tu ili tupate papuchi hiyoo ya kitoto
 
HAPO KAZI IPO pesa ikiisha basi tena
Ina maana wazee hawana haki ya kupendwa? Hakuna mtu anayependa au kupendwa bila sababu..unaweza pendwa kwa sababu ya mambo mengine na pesa hikiwemo. Hata wewe na ujana wako unaweza kupendwa kwa sababu ya pesa yako.........
 
heeee!...we wa wapi? kwani hujui mapenzi ya pesa hayana stress?....nina pesa namuita namdandia weeee nikitosheka nampa pesa yake anaondoka,,,poleni nyie wenye hilo gonjwa la kupenda kwangu mapenzi ni kubanjuana tu vingine vyote ni geresha tu.
 
Hi , Hii ni kwa mtazamo wangu, maana kuna wimbi kubwa la wadada kukimbilia wanaumme (wazee) wenye pesa na vitu vya thamani, soon hao wazee wakifulia hao wadada hawaendelei kua nao tena.

jamani hao si zaidi ya machangudoa wajipangao barabarani? Maana wenyewe wako open, siyo kama hawa wanaojiuza Indirect.
Tujadili hili kwa ungwana wakuu.

Huu mtazamo wako umetazama tu au umefanya utafiti mkuu? Alafu hilo jina la mwanasaikolojia ulilojipachika sidhani kama anaweza kuwa na mtazamo wa kikanjanja kama wewe. Ptuuuuu
 
Ina maana wazee hawana haki ya kupendwa? Hakuna mtu anayependa au kupendwa bila sababu..unaweza pendwa kwa sababu ya mambo mengine na pesa hikiwemo. Hata wewe na ujana wako unaweza kupendwa kwa sababu ya pesa yako.........

wana haki ya kupendwa tatizo ni kwamba kwanini wanaowapenda wasiendelee kuwapenda punde tu wanapofulia?
 
Last edited by a moderator:
Labda.......!

^^
Sio labda Kim.. Utajawa tabasamu wakati wote!
Your underneath real woman will turn into a devouted love!
Though you fear to be hurt but your fear will turn into a long term romantic experience that will shine on you!
^^
 
Watu wazima wanajua kubembeleza Wallahi.....yani mtoto unabembelezwa hadi unajiona unapaa..
Mapenzi ya vijana stress tupu, mara kakukaripia, mara kanuna, mara kakupiga...inahuu? Nani asiyetaka utulivu?
Mtuwache jamaniiiii!

Kim nana hatujakataa lakin wakiishiwa kwann mnawakimbia? Hilo ndo swali msingi
 
Last edited by a moderator:
Mzee lazima akubembeleze Maana Ndio silaha yake ya pekee aliyonayo kukunasa... Mkae mkijua tunawabembeleza kinafiki tu ili tupate papuchi hiyoo ya kitoto

Hata siye tunawajua kwa unafiki wala hamuwezi shughuli tunachofata ni ATM zenu tu! Huamini angalia babu mwenzio wa kijijini anaweza kumiliki KLyn?
 
Money is what counts......

Love is what counts, unaweza ukaduma na mpenz ambae dushe lake halisimami hata kidogo kisa pesa? Bt unaweza ukadumu na mtu ambae hana pesa bt yuko fit kimapenz, aren't U?
 
Wewe ni Me au ke? Maana naona kuna kujihami hapa. Kawaida urafiki ni kama definition ya Umalaya ilivyo 'A ana kitu B anahitaji. B naye ana kitu A anahitaji, wanakutana na kutrade' Hii iwe ni security na k au pesa na k. Bila kuwa na common interest urafiki haupo. Sasa ndugu yangu unapenda free P na ugharamiwe wakati binti anataka pesa ili ajikimu hapo urafiki utakuwepo? Lara 1 njoo pande hii

mimi ni Me, Cognitivism in nature, Love
How bt don't Love what he/she have
 
Hata siye tunawajua kwa unafiki wala hamuwezi shughuli tunachofata ni ATM zenu tu! Huamini angalia babu mwenzio wa kijijini anaweza kumiliki KLyn?

Ww utapata ATM yangu.. Mimi napata utu wako... Nani Atakua amepoteza zaidi???
 
kwa hiyo unataka kutuambia kwamba mapenzi ni BIASHARA na kwamba K ni commodity au?

Naona comment nyingi za wadada wa humu wanahalalisha k iwe biashara kama biashara zingine, maana wangejua defination ya biashara wasingethubutu kucomment as they do, mmh! Ila wanajidharirisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom