geek jo
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 1,134
- 1,145
Wacha mchezo kabisa!
Mmmh unajiona mtaaramuuuuna mwenyeweee
Wacha mchezo kabisa!
hahah! ndo maana yake sio kuleteana mambo ya kumbikumbi kila siku kufuatanafuatana tu kisa mfuko umenona.heeee!...we wa wapi? kwani hujui mapenzi ya pesa hayana stress?....nina pesa namuita namdandia weeee nikitosheka nampa pesa yake anaondoka,,,poleni nyie wenye hilo gonjwa la kupenda kwangu mapenzi ni kubanjuana tu vingine vyote ni geresha
G.Jacob haahaaa wazee wa one night stand (hit n run)