Ukiwa na pesa hayaji mapenzi

Ukiwa na pesa hayaji mapenzi

heeee!...we wa wapi? kwani hujui mapenzi ya pesa hayana stress?....nina pesa namuita namdandia weeee nikitosheka nampa pesa yake anaondoka,,,poleni nyie wenye hilo gonjwa la kupenda kwangu mapenzi ni kubanjuana tu vingine vyote ni geresha

G.Jacob haahaaa wazee wa one night stand (hit n run)
 
Last edited by a moderator:
Watu wazima wanajua kubembeleza Wallahi.....yani mtoto unabembelezwa hadi unajiona unapaa..
Mapenzi ya vijana stress tupu, mara kakukaripia, mara kanuna, mara kakupiga...inahuu? Nani asiyetaka utulivu?
Mtuwache jamaniiiii!

hahahaha vijana stress tupu lakini mzee utaongozana nae vipi kimnana
 
Huu mtazamo wako umetazama tu au umefanya utafiti mkuu? Alafu hilo jina la mwanasaikolojia ulilojipachika sidhani kama anaweza kuwa na mtazamo wa kikanjanja kama wewe. Ptuuuuu

Akili zako ndo zimeishia hapo kufikiri siwez kukulaumu, kumbuka hata philosophers wanatoa theories ndo maana nami nikatoa mtazamo wangu, i'm agreat thinker ndo maana nkatumia jina la cognivist huyu
 
Wewe akiyekuambia kugegedwa ni kupoteza utu nani? Toa mawazo mgando hayo!
Mi napata utamu + uchumi!

Eeeeh!! shikamooo kama unapata utamu ukigegedwa na kibabu husichokipenda
 
Akili zako ndo zimeishia hapo kufikiri siwez kukulaumu, kumbuka hata philosophers wanatoa theories ndo maana nami nikatoa mtazamo wangu, i'm agreat thinker ndo maana nkatumia jina la cognivist huyu

Mbona pooooovu

Wewe ni great thinker mwenye nyongo nyingi mwilini ndiomaana hauwez ku-accept arguments na criticism badala yake unaona kuwa wenzio hawawezi kufikiri.
A "devil advocate" can make u rethink!!
 
Eeeeh!! shikamooo kama unapata utamu ukigegedwa na kibabu husichokipenda

We mi nshakwambia dolari ikiwa kwa table hata chloroquin hua asali babu wee!
Nimpende ye mamaangu mzazi?
 
We mi nshakwambia dolari ikiwa kwa table hata chloroquin hua asali babu wee!
Nimpende ye mamaangu mzazi?

Hahaha Mmh nimejikuta nacheka mwenyewe.. Kwa style hiyooo ww si unaweza kumfirisi kabisaa hata naniliuuuu ww....
 
kwa hiyo unataka kutuambia kwamba mapenzi ni BIASHARA na kwamba K ni commodity au?
Kawaida mwanaume anatafuta k kwa mwanamke. Mwanamke mara nyingi hana genye kama wanawake, si ajabu anatafuta company au anatafuta mtu wa kumpeleka high table (ndoa) au mwokozi kiuchumi. Hivyo kwa vile ana k inayotafutwa na mwanaume na kama mwanaume anakidhi anavyotafuta kama nilivyoorodhesha they meet and trade. Acha masuala ati age au urefu au kibamia hiyo ni kusadikika
 
Mbona pooooovu

Wewe ni great thinker mwenye nyongo nyingi mwilini ndiomaana hauwez ku-accept arguments na criticism badala yake unaona kuwa wenzio hawawezi kufikiri.
A "devil advocate" can make u rethink!!
Empty set can't recognized even drawings
 
mimi ni Me, Cognitivism in nature, Love
How bt don't Love what he/she have
Hivyo sred yako ni kujihami. Kila wakati kumbuka huwezi kuubadili ulimwengu. Ngoja wakati ufike nawe ufaidi kama wazee wanavyotufaidi. Kwa sasa tafuta na ukishapata utaenjoy na wazuri bado hawajazaliwa
 
Watu wazima wanajua kubembeleza Wallahi.....yani mtoto unabembelezwa hadi unajiona unapaa..
Mapenzi ya vijana stress tupu, mara kakukaripia, mara kanuna, mara kakupiga...inahuu? Nani asiyetaka utulivu?
Mtuwache jamaniiiii!

Umesema kweli hawa vijana siku hizi hawana mapenzi zaidi ya stress, kununiana na kuviziana nani ataanza kumsemesha mwenzie kwanza!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hivyo sred yako ni kujihami. Kila wakati kumbuka huwezi kuubadili ulimwengu. Ngoja wakati ufike nawe ufaidi kama wazee wanavyotufaidi. Kwa sasa tafuta na ukishapata utaenjoy na wazuri bado hawajazaliwa

Bamukunda siyo kujihami its reality, anyway ngonja ngonja niendelee kuserve money for my future plan
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom