Bamukunda
JF-Expert Member
- Jul 3, 2011
- 394
- 261
itabidi uchague kilicho bora stress au kulingishiahahahaha vijana stress tupu lakini mzee utaongozana nae vipi kimnana
itabidi uchague kilicho bora stress au kulingishiahahahaha vijana stress tupu lakini mzee utaongozana nae vipi kimnana
We mi nshakwambia dolari ikiwa kwa table hata chloroquin hua asali babu wee!
Nimpende ye mamaangu mzazi?
Tafuta kijana ila lazima umhudumie. Kipi borahahahahaha so kujishaua nae kushikana mikono barabarani ni ngumu lol
Unaweza kujivunia huu mtazamo???
Hapo sawa hata wazee wa leo walikuwa vijana wa zamani. Walitafuta na sasa wanatafuna mifupa miaka 20. Ukikua nawe itakuwa zamu yako kuenjoy kama hutaongeza data mortality kabla ya kuufikia uzee. Jamani tuache uchoyo kama wa chura kulalamikia maji ya kisimani kuwa yangu yangu wakati hawezi kuyanywa. Kaka kama ukiangalia mapunda na vibabu ndo vinatafuna vibinti virembo.Bamukunda siyo kujihami its reality, anyway ngonja ngonja niendelee kuserve money for my future plan
Hapo sawa hata wazee wa leo walikuwa vijana wa zamani. Walitafuta na sasa wanatafuna mifupa miaka 20. Ukikua nawe itakuwa zamu yako kuenjoy kama hutaongeza data mortality kabla ya kuufikia uzee. Jamani tuache uchoyo kama wa chura kulalamikia maji ya kisimani kuwa yangu yangu wakati hawezi kuyanywa. Kaka kama ukiangalia mapunda na vibabu ndo vinatafuna vibinti virembo.
yule yule supanyota ama?
chepuka kidogo nikupe dawa ya kukimbia vibanio bhana!
nakumiss mpaka nashindwa kunya maji ujue! kuna siku nilikuota live kabisa nikiwa nimefumbua macho! lol
wewe kijana una afya gani kumzidi kibabu. Acha ubinafsi kwanza vijana wengi ni wachafuNi kweli hivi vibinti virembo vinatafunwa na vibabu, je vinazingatia afya au vinazingatia cash?
wewe kijana una afya gani kumzidi kibabu. Acha ubinafsi kwanza vijana wengi ni wachafu
But that is speaking from my imagination...sijawahi kuwa na Mzee..heheheeee!
wewe kijana una afya gani kumzidi kibabu. Acha ubinafsi kwanza vijana wengi ni wachafu
.maelezo yako toka mwanzo yanaonyesha kauzoefu kidogo, teh!!
aisee!! sasa kwanini hukunitafuta nichukue fursa? acha uchoyo na kidude chako bhana! lol.Hahahhahahahhaha....
Sasa Hivi Nina Mkulima Wangu.
Superstar Nimetupa kule Kama Goli La RVP,
Nazingatia Njia Kuu,Mchepuko Sio Dili.
Vijana hawaumwi? Unadhani uzee ni ugonjwa. Acha kuwa na wivu na vibabu, subiri muda wako na wewe ufaidiNaongelea afya ya mwili na cyo uchafu wa mwili, au unahisi mtu akisha miliki pesa hawez kua na tatizo kiafya? Haaahaaa
Hahahaaa, nina kauzoefu ka stress za vijana...stress hadi moyo umekufa ganzi...
so nafikiria labda vice versa is true