Ukiwa mpambanaji kuwa makini na idadi kubwa ya wapenzi watakufilisi

Tatizo ukishamgonga unaona kama 300,000/- yako imepotea
Anatakiwa atafute muhudumu wa bar, kila weekend anafunga bar anaenda kumgonga kwa 15,000/-, kwa mwezi jumla 60-80 anasevu laki2
Sasa na kwa huyo mhudumu wa bar n sawa na kugonga malaya 😂
 
Hakika, ukijipata n lazima uwe tofauti na yule aliyekuwa anajitafuta, ila kwa pesa hy ya kut*mbea atleast uwe na mshahara wa 2m
Exactly ila vyema zaidi kama ukitoka huko kwenye salary economy kama walimu wa Mpwayungu. Wa Tanzania wengi wana maisha magumu sababu ya salary economy. Kwa hizi salary scale za bongo wanazolipwa wadogo zetu, financial freedom utaisoma JF tu, haha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom