Ukiwa mpambanaji kuwa makini na idadi kubwa ya wapenzi watakufilisi

Budget ndogo ipo hivi,
Wengi siku hizi hatuendi lodge, tunapanga chumba self nje ya makazi ya familia zetu so fanya hivi,
Chumba kodi 150k*6= 900k
kitanda, pazia, doormat, ndoo, mito, mashuka, kochi= 500k
Emergency, usafi na upuuzi mwingine = 100k
Jumla 1.5M kwa miezi 6 ambapo ukigawa ni kama 250k kila mwezi
Ukijumlisha nauli yake kuja na kuondoka kwa mwezi itachezea hapo kwenye 300k kila mwezi kwenye uzinzi tu, miyeyusho sana.
Aisee 🤔
 
Muombe Mungu akupe maono tu Vision

Ukiwa na vision tayari unakuwa hauzuiliki.

Pombe
Ngono
Kamali

Utakuwa Una-adithiwa na WATU.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom