ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 23,581
- 56,801
Ukiwa huna maisha umefulia balance haisomi kila idea unayoipenda ukiifikiria unaipangilia vizuri kabisa Kiasi cha mtaji,gharama za uendeshaji,faida,..imagine niliishiwa hela nikaanza kufikiria biashara ya uji,matunda,genge...na tena kisasa ma innovations kama yote..
Kosa waniingizie mkwanja Tu maboss huwa sikumbuki idea zinapoteaje poteaje NI mwendo wa kutafuna nchi,betpawa,bia,kitimoto,mademu anyway sio lazima wote tuwe matajiri kikubwa hakuna kufa kwa njaa Tanzania.