Jinsi ya kuanzisha biashara ukiwa umeajiriwa

The_vision

Member
Feb 9, 2022
13
63
Habari wa jamii forum natumai mu wazima wa afya na mnapambana kutafuta kitu cha kwenda kinywani

Leo napenda niongelee kitu kimoja kwa muajiliwa anayetamani kujiajili huku akiwa kwenye ajira yake kuwa biashara yoyote iwe mpya au ya zamani ina changamoto zake especially kwenye mazingira yetu. 50% Ya biashara zote ndogo zinakufa katika mwaka wake wa kwanza kuanzishwa.

Mtandao wa Investopedia ulitoa sababu ya biashara ndogo kufa, 1. Mtaji Mdogo, 2. Uendeshaji Mbovu, 3. Mpangilio Mbovu wa Biashara na Bidhaa yako au huduma yako haihitajiki sokoni (Hakuna wateja wanahitaji bidhaa zako). Pamoja na sababu zingine nyingi.

Sasa kama tulivyoona hapo juu changamoto ni nyingi. Kabla ya kufikiria kuanzisha biashara ukiwa umeajiriwa inabidi ujipange. Kitu kimoja kikubwa ambacho Ajira itakusaidia kipindi unataka kuanzisha biashara ni MTAJI pamoja na muda wa kujipanga kabla ya kuanza biashara full time.

Kuna watu hua wanafikiria kuacha kazi ndio waanzishe biashara. Ndio unatakiwa kufuata ndoto zako lakini sikushauri hicho kitu. Asilimia kubwa ya biashara mpaka zianze kuingiza pesa inachukua hata mwaka mzima. So its either uwe ume save hela za kutosha kukusaidia muda wote huo

Hizi ni hatua chache za kufuata ili uanzishe biashara ukiwa umeajiriwa. Kwanza hakikisha mkataba wako na mwajiri wako unakuruhusu kufanya biashara ukiwa mwajiriwa wake. Kuna baadhi ya makampuni huwezi kuanzisha biashara ukiwa bado mwajiriwa wao. Soma Mkataba wako wa kazi

MUDA: Tambua kwamba biashara mpya inahitaji muda wako wa kutosha. Kuna muda wa kazi yako na muda wa biashara yako. Panga muda wako vizuri. Punguza au ondoa vitu ambavyo vinakumalizia muda wako na sio vya maana mfano Kuangalia Netflix, Social Media, Video Games, etc

WAZO LA BIASHARA: Usichague wazo la biashara na aina ya biashara ambayo hutaweza kuifanya part time. Mfano umefungua mgahawa au bar kama hautokuepo hapo full time kipindi cha mwanzo au huna msaidizi. UTALIA. Kama tulivyoona hapo juu moja ya sababu biashara kufa ni usimamizi mbovu

Kuna mawazo ya biashara (Business Ideas) na mfumo wa biashara (Business Models) nyingi sana ambazo unaweza kuchagua na kufanya on side ukiwa umeajiriwa
Kabla hujachagua wazo la biashara uchague au ufanye jipime skills, abilities, and weaknesses zako. Kisha focus biashara ambayo itakufanya utumie strength zako. Kama huna hio skill ambayo biashara unayotaka kuifanya tumia muda wako kujifunza au mpe hio kazi mtu mwingine akusaidie.

Tuseme ushachagua wazo lako la biashra. Kibinadamu ni rahisi kuona wazo lako ni zuri na litakufanya upige hela. That’s the TRAP. UTAFELI. Kabla ya kutumia muda wako mwingi VALIDATE your idea first. Fanya utafiti, Market research.
Malengo yako ni kuanzisha biashara ambayo inaongeza thamani kwa watu. Haitakua namaana kama utakua na bidhaa ambayo hakuna mtu anahitaji. Kusanya maoni kutoka kwa watu/wateja wako walengwa tokea unaanza biashara na usiache kuwaskiliza.

Tengeneza detailed, measurable, and realistic goals. Ni ngumu kwenda popote kama hufahamu unakwenda wapi. Panga mipango yako ya siku, wiki, mwezi. Kisha panga mkakati jinsi gani jinsi utayafikia malengo yako.

Biashara ina mahitaji mengi ili ifanikiwe na wewe kwa sababu umeajiriwa huna muda wa kutosha kuyafikia mahitaji yote. Mfano unahitaji Social Media Makerting kwa biashara yako na wewe huna muda. Hio kazi mpe mtu mwingine. Focus kwenye vitu muhimu vinavyokuza biashara yako

Faida inayopatikana kwenye Side Business yako Re Invest kwenye biashara yako na kiasi kingine kinachopatikana SAVE itakusaidia pale ambapo utaamua kuacha kazi na kufanya biashara full time. Hakikisha umeweka mipango na bajeti ya jinsi utatumia hela zako.

ANGALIZO: Usitumie mali za kampuni/mwajiri wako kwa kazi zako binafsI. Usitume email, printer, laptop, etc. Hii ni pamoja na muda wa mwajiri wako usitumie kwa biashra zako.

Kama unashida na unahitaji ushauri zaidi unaweza ni text WhatsApp kupitia hii link Nextcasual_ ukatuma neno USHINDI na ukajipatia madini mengi zaidi kwa vitabu nitakavyo kupa

Kuanzisha biashra ukiwa umeajiriwa sio kazi ndogo lakini INAWEZEKANA.
 
Kwa uzoefu wangu kama mfanyabiashara wa zaidi ya miaka 10.

Ningemshauri mwajiriwa afungue biashara ya bidhaa zinazohesabika/uuzaji wake wa kuhesabika.

Sio uuzaji wa bidhaa za kupima, kukadiria au kuoza/kuharibika kwa haraka na pia isiwe biashara ya vikorokoro vingi ambavyo huwezi kuvifanyia stock.
 
Huku uae kuna kampuni ambazo zinafanya crowd funding, hii ni njia ya kuzipa mkopo kampuni za SME( small and Medium company).
Kampuni hizi kazi zao ni kukushanya pesa kwa mtu yeyote mwenye pesa kuanzia kama shillingi laki tano na kuendelea, halafu wanakopesha kwa wafanya biashara kwa bei nafuu na kwa faida ndogo,kwa muda mdogo tu wanatoa mkopo kwa wafanya biashara.

Wachangiaji wengi ni wafanyakazi wa kuajiriwa, kwa mwaka unapata faida ya uhakika 8-12%.

Uzuri wake ni kwamba unarudishiwa pesa kila mwezi na faida yako. Na fedha unazorudishiwa unaweza kuziinvest tena automatically.

Risk ya kupoteza pesa zako ki ndogo sana.

Hii ni njia nzuri ya kumsaidia mfanyabiashara na kuepukana na ukiritimba wa benki, pamoja na kumsaidia muekezaji

Fungua: www.beehive.ae ili kufahamu namna gani platform hii inafanya kazi.
Hii ni tafauti na njia ya kununua hisa kwenye jampuni.

Attachments

  • A824C368-167D-4DAF-AD11-6CF5589C5D05.jpeg
    A824C368-167D-4DAF-AD11-6CF5589C5D05.jpeg
    53 KB · Views: 79
Huku uae kuna kampuni ambazo zinafanya crowd funding, hii ni njia ya kuzipa mkopo kampuni za SME( small and Medium company).
Kampuni hizi kazi zao ni kukushanya pesa kwa mtu yeyote mwenye pesa kuanzia kama shillingi laki tano na kuendelea, halafu wanakopesha kwa wafanya biashara kwa bei nafuu na kwa faida ndogo,kwa muda mdogo tu wanatoa mkopo kwa wafanya biashara.

Wachangiaji wengi ni wafanyakazi wa kuajiriwa, kwa mwaka unapata faida ya uhakika 8-12%.

Uzuri wake ni kwamba unarudishiwa pesa kila mwezi na faida yako. Na fedha unazorudishiwa unaweza kuziinvest tena automatically.

Risk ya kupoteza pesa zako ki ndogo sana.

Hii ni njia nzuri ya kumsaidia mfanyabiashara na kuepukana na ukiritimba wa benki, pamoja na kumsaidia muekezaji

Fungua: www.beehive.ae ili kufahamu namna gani platform hii inafanya kazi.
Hii ni tafauti na njia ya kununua hisa kwenye jampuni.
Kwa tanzania inawezekanaje hii
 
Habari wa jamii forum natumai mu wazima wa afya na mnapambana kutafuta kitu cha kwenda kinywani

Leo napenda niongelee kitu kimoja kwa muajiliwa anayetamani kujiajili huku akiwa kwenye ajira yake kuwa biashara yoyote iwe mpya au ya zamani ina changamoto zake especially kwenye mazingira yetu. 50% Ya biashara zote ndogo zinakufa katika mwaka wake wa kwanza kuanzishwa.

Mtandao wa Investopedia ulitoa sababu ya biashara ndogo kufa, 1. Mtaji Mdogo, 2. Uendeshaji Mbovu, 3. Mpangilio Mbovu wa Biashara na Bidhaa yako au huduma yako haihitajiki sokoni (Hakuna wateja wanahitaji bidhaa zako). Pamoja na sababu zingine nyingi.

Sasa kama tulivyoona hapo juu changamoto ni nyingi. Kabla ya kufikiria kuanzisha biashara ukiwa umeajiriwa inabidi ujipange. Kitu kimoja kikubwa ambacho Ajira itakusaidia kipindi unataka kuanzisha biashara ni MTAJI pamoja na muda wa kujipanga kabla ya kuanza biashara full time.

Kuna watu hua wanafikiria kuacha kazi ndio waanzishe biashara. Ndio unatakiwa kufuata ndoto zako lakini sikushauri hicho kitu. Asilimia kubwa ya biashara mpaka zianze kuingiza pesa inachukua hata mwaka mzima. So its either uwe ume save hela za kutosha kukusaidia muda wote huo

Hizi ni hatua chache za kufuata ili uanzishe biashara ukiwa umeajiriwa. Kwanza hakikisha mkataba wako na mwajiri wako unakuruhusu kufanya biashara ukiwa mwajiriwa wake. Kuna baadhi ya makampuni huwezi kuanzisha biashara ukiwa bado mwajiriwa wao. Soma Mkataba wako wa kazi

MUDA: Tambua kwamba biashara mpya inahitaji muda wako wa kutosha. Kuna muda wa kazi yako na muda wa biashara yako. Panga muda wako vizuri. Punguza au ondoa vitu ambavyo vinakumalizia muda wako na sio vya maana mfano Kuangalia Netflix, Social Media, Video Games, etc

WAZO LA BIASHARA: Usichague wazo la biashara na aina ya biashara ambayo hutaweza kuifanya part time. Mfano umefungua mgahawa au bar kama hautokuepo hapo full time kipindi cha mwanzo au huna msaidizi. UTALIA. Kama tulivyoona hapo juu moja ya sababu biashara kufa ni usimamizi mbovu

Kuna mawazo ya biashara (Business Ideas) na mfumo wa biashara (Business Models) nyingi sana ambazo unaweza kuchagua na kufanya on side ukiwa umeajiriwa
Kabla hujachagua wazo la biashara uchague au ufanye jipime skills, abilities, and weaknesses zako. Kisha focus biashara ambayo itakufanya utumie strength zako. Kama huna hio skill ambayo biashara unayotaka kuifanya tumia muda wako kujifunza au mpe hio kazi mtu mwingine akusaidie.

Tuseme ushachagua wazo lako la biashra. Kibinadamu ni rahisi kuona wazo lako ni zuri na litakufanya upige hela. That’s the TRAP. UTAFELI. Kabla ya kutumia muda wako mwingi VALIDATE your idea first. Fanya utafiti, Market research.
Malengo yako ni kuanzisha biashara ambayo inaongeza thamani kwa watu. Haitakua namaana kama utakua na bidhaa ambayo hakuna mtu anahitaji. Kusanya maoni kutoka kwa watu/wateja wako walengwa tokea unaanza biashara na usiache kuwaskiliza.

Tengeneza detailed, measurable, and realistic goals. Ni ngumu kwenda popote kama hufahamu unakwenda wapi. Panga mipango yako ya siku, wiki, mwezi. Kisha panga mkakati jinsi gani jinsi utayafikia malengo yako.

Biashara ina mahitaji mengi ili ifanikiwe na wewe kwa sababu umeajiriwa huna muda wa kutosha kuyafikia mahitaji yote. Mfano unahitaji Social Media Makerting kwa biashara yako na wewe huna muda. Hio kazi mpe mtu mwingine. Focus kwenye vitu muhimu vinavyokuza biashara yako

Faida inayopatikana kwenye Side Business yako Re Invest kwenye biashara yako na kiasi kingine kinachopatikana SAVE itakusaidia pale ambapo utaamua kuacha kazi na kufanya biashara full time. Hakikisha umeweka mipango na bajeti ya jinsi utatumia hela zako.

ANGALIZO: Usitumie mali za kampuni/mwajiri wako kwa kazi zako binafsI. Usitume email, printer, laptop, etc. Hii ni pamoja na muda wa mwajiri wako usitumie kwa biashra zako.

Kama unashida na unahitaji ushauri zaidi unaweza ni text WhatsApp kupitia hii link Nextcasual_ ukatuma neno USHINDI na ukajipatia madini mengi zaidi kwa vitabu nitakavyo kupa

Kuanzisha biashra ukiwa umeajiriwa sio kazi ndogo lakini INAWEZEKANA.
Mawazo na maelezo yapo vizuri... Congrats
 
Kwa uzoefu wangu kama mfanyabiashara wa zaidi ya miaka 10.

Ningemshauri mwajiriwa afungue biashara ya bidhaa zinazohesabika/uuzaji wake wa kuhesabika.

Sio uuzaji wa bidhaa za kupima, kukadiria au kuoza/kuharibika kwa haraka na pia isiwe biashara ya vikorokoro vingi ambavyo huwezi kuvifanyia stock.
Mkuu uko sahihi kabisa umenifanya nikose Cha kuandika maana ulichoeleza ndio nilichotaka kuchangia hii ndio Siri ata ukitaka kuwa na biashara nyingi bila kuchanganyikiwa hii ndio siri
 
Kama mtu akiamua kukuibia anakuibia tu, ataenda nunua bidhaa zake kama hizo unazouza wewe Yani atamtafuta muuzaji WA jumla bila wewe kujua ataweka Mahali alafu akiuza zako anaenda chukua zile zake alizoweka Mahali anaziweka hapo dukani Sasa wewe akikuambia sijauza na ukahesabu bidhaa utajua kweli kumbe ushaibiwa
 
simple technique ...lazima kuwe na daftar la stoo na la mauzo(huduma).

Unafanya kutuma mtu mgeni akanunue bidhaa x ofisini kwako .. kisha baada ya siku mbili unaenda kutazama kama mtu huyo alipata bidhaa au huduma ile

ukikuta hakuna hilo jina na bidhaa haijatoka .. jua hapo unapigwa .. Toa kibaruani huyo mtu
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom