ukiwa handsome kila mtu anakutamani

Hivi ule uzi wa tufanyeje kurudisha hadhi ya uanaume iko wapi tena?
Angalia usiposwe na wakaka pia, manake mwanaume hajisifii uzuri babangu! Haya, endelea kuuza nyago
 
Hivi ule uzi wa tufanyeje kurudisha hadhi ya uanaume iko wapi tena?
Angalia usiposwe na wakaka pia, manake mwanaume hajisifii uzuri babangu! Haya, endelea kuuza nyago

achana naye huyo...

Ndiyo hawa kwenye thread yangu wako kwenye category no 1
 
Duh! Hii kali!
But hongera kwa kuwa mwanaume mzuri! Sisi wengine sura mbaya lakini tunashokewa kwasababu ya mkwanja tulio nao!!
 
siku zote vizuri vina kasoro....si ajabu na we una kasoro...Mungu hakupi vyote..
 
Waliwa mavi utawajua tu!! mwanaume anajisifia mzuri!! kha.
POPOBAWA.
 
Cholo nadhani una matatizo,nani kakwambia mwanamme anajisifia
Na kosa liko wapi akijisifia....Sioni kosa akisema yeye ni handsome mana anajiamini yeye ni handsome.

Ni sawa sawa na mwanamke akijisfia kusema yeye ni beautiful lady/girl.

Nenda karibu yake na wewe unaweza kuvutiwa ukakubaliana naye.
 
:A S-coffee::A S-coffee:fazaa mie nimesema ana matatizo huyu wa kiume si bure.
 
mwanaume hajisifii uzuri, anajisifia pesaaaaaaaaaa

uzuri wa mwanaume upo mfukoni mwake i.e uzuri wa mwanaume upo kwenye wallet yake
 
umaarufu kazi, wengine huvua hadharani ili waupate.

Part 2, tutegemee nini?
 
karibu sana mwanamme mzuri, ni mara chache sana kusikia mwanamme anajisifia yeye ni mzuri. Cholo nikija nikikwambia wewe ni mzuri utaitikia asante au?
 
Back
Top Bottom