ukiwa handsome kila mtu anakutamani

Hebu tuacheni utani. Hivi mtu akiwa ndani ya gari anaweza kulisukuma? Mi nafahamu kama unataka kusukuma gari ili hali ukiwa ndani, ni bure na sana sana utavunja viti vya hilo gari. Na ukitaka uweze basi shuka chini faster.
Na kama ukitaka gari lako liende, omba msaada kutoka kwa watu
 
Back
Top Bottom