Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,226
Soma hapo chini kijana.Na kosa liko wapi akijisifia....Sioni kosa akisema yeye ni handsome mana anajiamini yeye ni handsome.
Ni sawa sawa na mwanamke akijisfia kusema yeye ni beautiful lady/girl.
Nenda karibu yake na wewe unaweza kuvutiwa ukakubaliana naye.
mwanaume asifiwi sura!! Mwanaume kazi.
Siku ya kumfunda cholo kama nikipewa kipindi uchukue notes kabisaa! Uje na daftari la mistari mikubwa na kalamu za rangi za mafuta.
CHOLO!!!! Bora uende Tanga. Watakujengea nyumba ya ghorofa kwa uzuri wako.
Hao wanawake nna uhakika siyo wa dar es salaam!!!!
sijakupata mkuu,kwani wanawake wa mikoani wakoje?
Wanawake wa dar es salaam wanaotamani wanaume wanaangalia mawili!pesa na umaarufu tu!nazungumizia uzoefu!proven....angalia wasanii wote wanaoshobokewa leo kwa uzuri halafu jiulize kabla ya!walikuwa wabaya na usanii ndo umewafanya wawe wazuri?
Na wewe na maneno yako ya Chooni,MxWaliwa mavi utawajua tu!! mwanaume anajisifia mzuri!! kha.
POPOBAWA.
hivi hatuwezi andaa shughuli ya kumkaribisha kijana MZURI?
Kwangu kuna nafasi, na mchele ninao wa kutosha.
Tunapika pilau, tunaleta na kungwi amcheze
siku zote vizuri vina kasoro....si ajabu na we una kasoro...mungu hakupi vyote..
Na wewe na maneno yako ya Chooni,Mx
wanawake wengi wananitaka kimapenzi sinahaja raha ofisini hata mitaani
mavii yanajisif nzi kufuata. Utakua gay ww!
tehe...I love youuuu