The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,675
Aisee kuna perfume moja nikispray kila mtu anaipenda hata washikaji, mtu anakwambia nimesikia harufu yako toka mbali sana
Inaitwaje?
Aisee kuna perfume moja nikispray kila mtu anaipenda hata washikaji, mtu anakwambia nimesikia harufu yako toka mbali sana
Mpaka ifike bongo utaambiwa laki kadhaa bongo kila kitu kiko inflated
ah shemegi, hizo swag....
In fact ume quote mvao wangu kabisaaaa!
Ningekuwa sijaoa ningekufaa!
ha ha h ha JICHO TAI yaaani hta ubua wa nni wakati nachanganyikiwa mwenyewe tuu
Ahaha
Tupiamo kapicha basi lools
Ningekua sijaolewa ningekua mpango wa kando!!
Burberry Brit Classic Fit Pique Polo
![]()
Umeguna kama mashati yangu yote unayajua na hakuna hata moja unalolikubali
Naamini maombi yangu yamesikilizwa na njia kuu ishaanza kutumika.
Aisee kuna perfume moja nikispray kila mtu anaipenda hata washikaji, mtu anakwambia nimesikia harufu yako toka mbali sana
Zipo fake with class sio kuvalia nguo oversize na rangi za ajabu wengine sarawili huwa na minyororo na makofuli yake juu
Hizo mavazi ni mbwebwe tu mwanaume wa kweli hutumia dume....
hahahahaha mwanaume akivaa shati la maua maua hata salamu huwa siitikii lol
Halafu sasa cha ajabu mdada mwenyewe anayezungumza hayo mkononi unamkuta kashikilia kitu cha Hu Jintao...aka Tecno au Huawei...full kuleta mbwembwe watsapp etc etc...ni99a pleeeeeaaaasseeee.......!!Take a Seat and relax Hoooneeeyyy...!!
watu wengi waliacha kuvaa hizi burberry baada ya 'chavs' kuzivamia!
Kwa vile watu wengi waliacha kuvaa kwangu hiyo ni habari njema maana hata nikivaa sasa sitakutana na mijitu elfu iliyovaa nguo kama yangu.
Huwa sipendi vitu vyangu wengi wawenavyo!
Lakini kama una pay attention to detail utagundua kwamba ndani ya placket zile check design lines zimekuwa updated.
Hata logo imekuwa updated pia.
Na kama utakuwa mpenzi wa hizo polo basi utajua designs za 2009, 2008, 2007 n.k zilikuwaje na tofauti yake na za sasa ni zipi.
Nadhani unachozungumzia wewe ni nyakati hizo. Sasa hivi sijaona zikiwa zimezagaa kama ilivyokuwa hapo nyuma.