mke wa mkuu
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 634
- 277
Hahahahahaha
Sipendi mwanaume awe kajitundika micheeni kilo 10 shingoni...mipete ya ajabu ajabu....nooo
Simple n' smart...kucha fupi na safi,nywele fupi safi..
Kama official shati limenyoka vzuuri umechomekea na trauza ya kitambaa..saa imetulia mkononi
Kama casual jeans rangi iwe imepoa..t-shirt,open shoe hapo swadakta
Unyunyu kwa mbaali
USIPENDWE UITWE NANI?
Kabisa mwanaume wa machain tunashindana au wa kutia hina mwilini(tatoo). Za nini simple ukikuta mwanaume wa kujiremba sana hajiamini