Chocs
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 8,447
- 4,842
Njoo without ila usimwambie dogo
Hahahahahaha
Njoo without ila usimwambie dogo
Hizo mbwembwe tu. Wallet ikikaa njema afu ukawa unasukuma mikoko ya haja wanawake wote wanakuwa wake zako. Wote wanakuona Tiger Woods au Christiano Ronaldo. Kazi yako ni kuwabadili utakavyo.
Ndo nshasema hivyo.
Babu hiyo umesema wewe kwangu not applied kabisa
Na hapa.ni Ukawa au kazi ya chama?
Subiri nipate mkwanja wa kutosha afu nikufanyie majaribio. Unafkiri K Lynn kwa Mengi kampendea suti?
Kuna aina ya mashati na tshirt..ukivaa mwanamke ana pay attention...Mimi nna shati moja huwa hadi nasalimiwa by accident na wadada wakidhani tunafahamiana..kumbe shati..tu LOLl
Mnaotafuta mna kazi sana,
I should rather kill myself than commit suicide!
Aaa! unaniangusha Boss. Shati mja tuu? Badili asilimia 90 ya wardrobe yako kila six month uone majanga yake. Mpaka Wake za rafiki zako watakusalimia salimia tuu! Take it from me mkuu.
sasa watu waseme ooho sijui kutongoza wewe tupiamo kama hapo juu. huu ndio ukweli ukiwa smart na Mungu kakufanya tall lol ukigusa tu mdada ni kwa ubua.
Yaani nitakutoa mbioo shem
Wa hivi natamani hata kuwavua kabisa nikiwaona wamening'iniza surual zao
SIPENDI SIPENDI SIPENDIIIII
Mmmmhhhhhhh........!!!
Basi na wewe walipigilia hilo hilo mpaka kwenye ukosi kunaanza kuachia......(joke)
Hata mie unanibarikigi sana ukilivaa lile shati aisee
Burberry Brit Classic Fit Pique Polo
![]()
Hahahahahaha
Sipendi mwanaume awe kajitundika micheeni kilo 10 shingoni...mipete ya ajabu ajabu....nooo
Simple n' smart...kucha fupi na safi,nywele fupi safi..
Kama official shati limenyoka vzuuri umechomekea na trauza ya kitambaa..saa imetulia mkononi
Kama casual jeans rangi iwe imepoa..t-shirt,open shoe hapo swadakta
Unyunyu kwa mbaali
USIPENDWE UITWE NANI?
Aaa! unaniangusha Boss. Shati mja tuu? Badili asilimia 90 ya wardrobe yako kila six month uone majanga yake. Mpaka Wake za rafiki zako watakusalimia salimia tuu! Take it from me mkuu.