Ukivaa Yu-Toung Nakupotezea

Ukivaa Yu-Toung Nakupotezea

Its true mwanaume akiwa smart anapendeza,kwangu mimi haijalishi ni original au fake ila viwe na rangi nzuri za kiume siyo crazy colour,kwanza vitu vya kiume ni bei sana waacheni wavae kichina tu,mwanamke anaweza akavaa juu mpaka chini kwa 20,000 na akatoka vizuri sana kila mtu akamkubali,lakini kwa mwanaume ni ngumu.
Siyo ghali kihivyo clacks 70,000/=ukienda mtumbani 40000/= safi kiatu pure leather ..ila mchina akubali dawa anakamata vumbi acha mchina utanipata katika raba.
 
Hahahahahaha
Sipendi mwanaume awe kajitundika micheeni kilo 10 shingoni...mipete ya ajabu ajabu....nooo

Simple n' smart...kucha fupi na safi,nywele fupi safi..
Kama official shati limenyoka vzuuri umechomekea na trauza ya kitambaa..saa imetulia mkononi
Kama casual jeans rangi iwe imepoa..t-shirt,open shoe hapo swadakta
Unyunyu kwa mbaali
USIPENDWE UITWE NANI?

Uko kama mimi....ila shati lisiwe la maua lol..
 
Kuna aina ya mashati na tshirt..ukivaa mwanamke ana pay attention...Mimi nna shati moja huwa hadi nasalimiwa by accident na wadada wakidhani tunafahamiana..kumbe shati..tu LOLl

Mmmmhhhhhhh........!!!
 
hizo ni mbwembwe tuu...ni sawa wengine wanaonga wengine wanapiga kisela
 
Hahahahahaha
Sipendi mwanaume awe kajitundika micheeni kilo 10 shingoni...mipete ya ajabu ajabu....nooo

Simple n' smart...kucha fupi na safi,nywele fupi safi..
Kama official shati limenyoka vzuuri umechomekea na trauza ya kitambaa..saa imetulia mkononi
Kama casual jeans rangi iwe imepoa..t-shirt,open shoe hapo swadakta
Unyunyu kwa mbaali
USIPENDWE UITWE NANI?

shemegi Chocs nikitokelezea kama hivi vipi....?
1012678_454573431337548_509521468_n.jpg
 
Last edited by a moderator:
Siyo ghali kihivyo clacks 70,000/=ukienda mtumbani 40000/= safi kiatu pure leather ..ila mchina akubali dawa anakamata vumbi acha mchina utanipata katika raba.

wewe KakaKiiza hao ni watu wa class yako sawa hata nami ntashangaa ukivaa mchina!!! ila kuna vijana wanapiga kibarua kwa siku anapata buku 5 umwambie vitu vya 40,000 sijui 70,000 atakuelewa? Si utamfanya awe mwizi jaman? Je huyu naye hana haki ya kupendeza naye apendwe? Acheni jamani mchina karahisisha maisha kawafanya atleast nao wanaonekana vidume mbele ya jamii!!!
 
Last edited by a moderator:
shemegi Chocs nikitokelezea kama hivi vipi....?
1012678_454573431337548_509521468_n.jpg


Yaani nitakutoa mbioo shem
Wa hivi natamani hata kuwavua kabisa nikiwaona wamening'iniza surual zao

SIPENDI SIPENDI SIPENDIIIII
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaha
Sipendi mwanaume awe kajitundika micheeni kilo 10 shingoni...mipete ya ajabu ajabu....nooo

Simple n' smart...kucha fupi na safi,nywele fupi safi..
Kama official shati limenyoka vzuuri umechomekea na trauza ya kitambaa..saa imetulia mkononi
Kama casual jeans rangi iwe imepoa..t-shirt,open shoe hapo swadakta
Unyunyu kwa mbaali
USIPENDWE UITWE NANI?

daah ungekutana na mimi tayari wangu!
 
Kuna aina ya mashati na tshirt..ukivaa mwanamke ana pay attention...Mimi nna shati moja huwa hadi nasalimiwa by accident na wadada wakidhani tunafahamiana..kumbe shati..tu LOLl

umesema kweli mkuu yani kama huna roho ngumu unajikwaa maana wengine twafanya kazi ambabo wanawake hutembei hatua mbili unaye basi mamicho hayo basi kidume unajua tu mitupio yangu inawapelekesha!
 
Mimi navaa chochote kile nachojiskia kuvaa. Chamsingi kwenye wallet nisikose angalau $ 3000. Nyie vaeni scania ama ma youtong hayanitishi.
 
asikuambie mtu mwanaume awe smart % kubwa ya kukubalika unayo

asijitundike crazy colour za vipepeo..nguo oversize....

ya nn hayo jaman kama siku za kazi shart lenye rangi zilizotulia,suruali safi kiatu leather clarks nywele fupi

mwanaume akiwa smart daaa akinitongoza nachanganyikiwa

sasa watu waseme ooho sijui kutongoza wewe tupiamo kama hapo juu. huu ndio ukweli ukiwa smart na Mungu kakufanya tall lol ukigusa tu mdada ni kwa ubua.
 
Kuna aina ya mashati na tshirt..ukivaa mwanamke ana pay attention...Mimi nna shati moja huwa hadi nasalimiwa by accident na wadada wakidhani tunafahamiana..kumbe shati..tu LOLl

Basi na wewe walipigilia hilo hilo mpaka kwenye ukosi kunaanza kuachia......(joke)
 
Back
Top Bottom