The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,675
Ndiye wewe nilikusalimia jana eeh!
Umenikumbuka kumbe..Karibu LOL
Ndiye wewe nilikusalimia jana eeh!
Miss u
Umenikumbuka kumbe..Karibu LOL
Kuna aina ya mashati na tshirt..ukivaa mwanamke ana pay attention...Mimi nna shati moja huwa hadi nasalimiwa by accident na wadada wakidhani tunafahamiana..kumbe shati..tu LOLl
Tatizo la kukaaa Olmotonyi hili....
Nimehama siku hizi nipo Ngorongoro
Hahahahahaha
Sipendi mwanaume awe kajitundika micheeni kilo 10 shingoni...mipete ya ajabu ajabu....nooo
Kuna aina ya mashati na tshirt..ukivaa mwanamke ana pay attention...Mimi nna shati moja huwa hadi nasalimiwa by accident na wadada wakidhani tunafahamiana..kumbe shati..tu LOLl
Homa ya Dengua hiyo!!!!!!!!!!!!!Baridi imezidi najifungia ndani tu