Ukivaa Yu-Toung Nakupotezea

Frankly speaking sijaelewa dhumuni la hili swali lako mkwe.....
Ni kwamba unafikiri kijana hawezi kuvaa ORIGINALE au tumekuwa kimya mno?

Kila siku nasubiria hodi naona kimya. Binti nimeshamwambia asiangalie mavazi bali wallet. Mavazi kitu gani bhana, Simba anatembea uchi na ana majike kibao yanamgombea.
 

Zipo fake with class sio kuvalia nguo oversize na rangi za ajabu wengine sarawili huwa na minyororo na makofuli yake juu
 
Kuna aina ya mashati na tshirt..ukivaa mwanamke ana pay attention...Mimi nna shati moja huwa hadi nasalimiwa by accident na wadada wakidhani tunafahamiana..kumbe shati..tu LOLl

Burberry Brit Classic Fit Pique Polo

 

Hahaha haya bhana...
 

Sio wanawake wote wanampenda mtu kwa vigezo hivyo ulivyotaja,
 
Kila siku nasubiria hodi naona kimya. Binti nimeshamwambia asiangalie mavazi bali wallet. Mavazi kitu gani bhana, Simba anatembea uchi na ana majike kibao yanamgombea.
ha haaa, mkwe sasa si unaona inabidi tujikunje sana......
yaani tunataka mkitamka mkaja wa mama milioni 6 tunatoa tu bila kuomba kupunguziwa, mahari milioni 20 zinamwagika.....
hata tukija na yutoung poa tu bora mkwanja umekamilika
 
Nipo baby. Eti we nikikutwanga na ka İST na mkwanja wa haja utakuwa na muda wa kuangalia kaunda suti nyekundu na raba mtoni za njano nlivyotinga?

hahahaha hapo nitakuona unameremeta hata kama umevaa maronyaronya lol
 

In fact ume quote mvao wangu kabisaaaa!
Ningekuwa sijaoa ningekufaa!
 
hahahaha hapo nitakuona unameremeta hata kama umevaa maronyaronya lol

umeona eh? Mwanaume wa kweli anasaka mkwanja. kujiremba kazi ya mwanamke, ndio pambo la dunia.

Kam zis wei bebi, tena ukuje without chapchap sana.
 
ha haaa, mkwe sasa si unaona inabidi tujikunje sana......
yaani tunataka mkitamka mkaja wa mama milioni 6 tunatoa tu bila kuomba kupunguziwa, mahari milioni 20 zinamwagika.....
hata tukija na yutoung poa tu bora mkwanja umekamilika

fanyeni chapchap, naona shkamo zimeongezeka mtaani vijana watampiku kijana wako.
 
umeona eh? Mwanaume wa kweli anasaka mkwanja. kujiremba kazi ya mwanamke, ndio pambo la dunia.

Kam zis wei bebi, tena ukuje without chapchap sana.

Na hapa.ni Ukawa au kazi ya chama?
 

#TeamBazazi Kidogo tu uumbuke na masong yako... muulize Kijana wako Mentor na Mtei uwa wanafanyaje..shauri yako ww na suti zako za kaunda kama zangu
 
Napenda mwanaume avae flana ya ndani yani vest hata nikienda naye room nimkute na Boxer cotton siyo boxer imeandikwa TMK.

aaaaahhhhhaaaa nimecheka sana duuuuuuuuuuuu boxer ya TMK?????? asa niko najiuliza ni ya wanaume halisi au tmk majita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…