Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 2,786
- 7,567
Wakuu,
Hiki ndicho kinaendelea wakati huu, ukionekana umevaa gwanda za CHADEMA au unajisogoze sogeza na kuwa na viashiria vya kuwa mwana CHADEMA unadakwa chap, wanakutia selo, ndugu zako wanaambiwa hutoki mpaka uchaguzi uishe, hivyo wajipange tu kukuletea chakula na mahitaji muhimu utakayohitaji!
Hivyo hivyo kwa wanaoongelea maandamano, wakikudaka unasema Oktoba unatoka, ama wakaona kuna viashiria vyovyote vya wewe kuandamana, unachukuliwa fasta wanaenda kukutupa kwenye moja ya vituo huko ukisubiri uchaguzi upite.
Sasa hapa ndio iwe bahati yako waone kwamba wewe huna maana, ni kisisimizi tu kwenye maandamano hayo selo ndio itakuwa ponea yako. Lakini ikiwa una following kubwa kwenye mitandao ya kijamii au wakaona una ka ushawisi ka kuwasomba wengine nao wakajiunga kwenye maandamano, hapo ndio ntolee, unaenda kupotezwa kimoja!
Ndipo tulipofikia hapa, yaani CCM wapo desperate kiasi hiki, moja haikai mbili haisimami, ukipita vibaya kwenye anga zao ni unadakwa shwaaa! Sasa jishikilie, upite kwa step, unataka kuwepo MO29, kamdomo kasikuponze ukadakwa kabla ya siku au mbaya zaidi ukapotezwa. Ni mwendo wa kuwapa surprise siku ikifika.
Na wale masnichi bado wapo, tena wameongozwa kwa wingi, jishikilie vizuri, MO29 si mbali.
Inashangaza, yaani sasa hivi ukitaka kujiachia na kujimwayamwaya basi tiga sare ya CCM, au hata ka kofia tu! Mbali na hapo unakuwa kama gaidi! Ila jua linakaribia kuteremka, kupisha jua lingine litokee!
JISHIKILIE, CHEZA KWA STEP!