Mchuzi wa mbwa kunywa wa moto. Leo tumeona Congo suala Patrice Lumumba na wahusika wake wa mwisho kafa mzee kabisa.
Tuje upande wa Rwanda napo ni vile vile. Wakubwa wa hayo matukio wanapatikana wakiwa wazee sasa.
Na hapa Tanzania usije shangaa kaomba msamahaa kwenye kitabu kabla ya kufa.
Watanzania tuache drama na kushabikia hadithi za watawala kwamba maandamano ya October 29 yaliratibiwa na kufadhiliwa na wanaharakati. Hizo ni propoganda za viongozi kutaka kukuza kitu ambacho wanajua si kweli.
Kama tutasema wanaharakati kama kina Mange Kimambi na wengineo waliratibu haya...
Wakuu,
Haki nacheka kama mazuri:BearLaugh::BearLaugh::KEKWlaugh:, mara hii mmeshasahau yote yaliyotokea? Aaah bana mbona mnataka kutupa mpira mapema hivi?
Sasa hivi mtakuwa mnalia na kusaga meno huko mliko, yaani wote ambao mngewaangushia lawama mliwapiga ban, sasa hakuna mtu wa kumtupia...
Wakuu,
Baada ya kiki kubuma na watu mbalimbali ikiwemo viongozi kuanza kusifia matokeo ya tume ya Chande kabla haijatoka sasa wamekuja na kuiombea dua tume hiyo!😂😂
Aloo, watu wanatapatapa kama wamekatwa vichwa, yaani kwa udhalimu na mauji waliyofanya wanadhani Watanganyika tutakubali kitu...
Wakuu,
Ikulu wawekea post kuwa Rais Samia ameitikia wito wa wagombea nafasi ya Urais kwa vyama 16. Kwa maneno mengine ni kwamba hawa wagombea ndio wameomba mkutano na Rais Samia ili wajadili pamoja kuhusu hali ya kisiasa na masuala ya maendeleo ya Taifa kwa ujumla.
Watu sio wajinga...
Mpaka Leo ccm haijasema vijana waliuwa vijana wenzetu wangapi
Wasije na maneno matupu TU ya kukanusha maneno ya Warioba.
Waje na takwimu halisi za vijana waliowaua tarehe 29 na zile za vijana waliuwawa na Idd amini
Mchungaji Rose Shaboka ameiambia DW kuwa serikali pia lazima ijitoe ili kuzungumza wazi na wananchi katika kuliponya taifa, Lazima Wantanzania wakubali kilichotekea, na kutafuta suluhu kwa siku zijazo.
Wananchi, wakiwa na huzuni na mshikamano, walizika nguo za marehemu aliyeuawa na polisi baada ya mwili wake kutokupatikana ishara ya kuenzi utu na kupaza sauti ya haki.
Ama kweli hii serikali iliingia vitani na raia wake, hadi traffic walipewa SMG kuingia mitaani kutungua watu waliokuwa majumbani.
Serikali hii haina pa kujificha. Asanteni sana watanzania kwa kurekodi huu ushenzi, mmetuua sawa ila safari hii hamna pa kujificha.
Wakuu,
Hiki ndio kinachoendelea mtaani kipindi hiki! Wakati wa maandamano wananchi walishuhudia wapendwa wao wakipigwa risasi na polisi na kuona miili ikizagaa mtaani wengine mpaka siku tatu.
Walipojaribu kuchukua miili hii kwa taratibu nyingine za kupumzisha wapendwa wao, polisi waliwakataza...
Hapa chini ni muhtasari wa taarifa ya awali (final) ya waangalizi wa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 kutoka SADC (SEOM), uliowasilishwa na Richard Msowoya, Spika wa zamani wa Bunge la Malawi na Mkuu wa Ujumbe wa Waangalizi wa SADC.
Upo kwa kifupi na kwa Kiswahili, ukitaka maelezo zaidi pitia...
Mazishi ya Mwananchi aliyeuawa kikatili kwa kupigwa risasi na polisi yamegeuka kuwa maandamano ya sauti na hisia.
Wananchi waimba “Hizo risasi hizo” wakieleza uchungu, hasira, na wito wa uwajibikaji kwa mamlaka.
Edwin Soko Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari nchi za Kusini mwa Afrika, akizungumza Novemba 5, 2025 katika Mjadala wa Nafasi ya Vyombo vya habari katika Uchaguzi wa Tanzania uliofanyika Oktoba 29, 2025 na kuambatana na vurugu za Maandamano ambapo Vyombo vya habari vilikaa kimya na umma...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limeeleza kuwa liliwashikilia vijana 300 kutoka maeneo mbalimbali mkoani humo kutokana na kudaiwa kushiriki vurugu zlizotokea siku ya uchaguzi mkuu Oktoba 29,2025.
Limesema kuwa baada ya kuwashikilia baadae liliwaachilia huru bila masharti yoyote, kutokana na...
Kenani Kihongosi, Katibu Mwenezi wa CCM akiwa LIVE instagram, "Mtu yuko nje ya Nchi anakwambia andamana na wewe unaingia barabarani unafanya uhalifu, hii haikubaliki, lazima tulinde amani yetu. Niongelee watu kufa kwenye nini..?! wewe mbona hujafa..? maana yake ulitulia nyumbani kwako"
Yaani kila siku tunaona maajabu ya mwaka😂😂😂. Mlianza kusema walioandamana sio Watanzania, haikutosha mkasema waliokufa sio Watanzania mkadhani wananchi ni wajinga! Video zikaanza kuibuliwa hadi na kila inayotoka mnaulizwa huyu sio Mtanzania?
Na Mungu alivyojua kuwaumbua, hata chawa wenu...
Wanabodi,
Mimi ni miongoni mwa Watu waliotoka tarehe 29/10/2025.Kwanza kabisa nikiri kuwa nilitoka asubuhi sana na bango langu lakini hakukua na mtu barabarani.
Baadae nikarudi pembeni, nikakuka wengi tu wamekaa pembeni, kumbe code ilikua maandamano yalipaswa kuanza saa 4.
Najivunia kuwa saa...
Kwa Masikitiko Makubwa tunapenda kuwataarifu kuhusu kifo cha Wakili Peter Elibariki Makundi (Roll No. 5937), mwanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Tawi la Ubungo, aliyefariki dunia kwa bahati mbaya siku ya Jumatano, tarehe 29 Oktoba 2025, baada ya kupigwa risasi katika eneo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.