CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
- Thread starter
- #21
hivi ukidai risit baada ya masuala ukapewa, utapokea au utaikataa?
hahahaaa... si ndio hapo chacha!!! :A S 2152: :A S 2152:
hivi ukidai risit baada ya masuala ukapewa, utapokea au utaikataa?
haa haa my son biashara ya feri na samaki duuh hizo risit zitakuwa shombo tupu. Au tusemee unauza mkaa wa vipimo vya 1000 huku kwetu uswahili ipo sana hiyo. Hizo risiti zinaweza badilika rangi na kuwa rangi ya mkaa.hivi shangazi umeenda ferry ku'buy sio vijifish vya elfu 30-40 !
Lets say una hoteli yako ya kiwango cha kati , so demand yako ni ku'buy mifish ya tsh laki 2-3 utadai risiti ?
Na hata ukidai , mazingira ya ferry yana issue risiti?
Wakati ukienda kariakoo ukanunua viatu pair 2 vikagharimu tsh elfu 50 tu , mazingira ya risiti ndo yanalazimu!
Tafakari !
iwe unauza ama unanunua, umeona eeeh. Kwanza utapata wapi ujasiri wa kutoa na kudai risiti????
hahahaa kwa hiyo TRA iongeze kas ya kusambaza hzo mashine,..kwa watoa huduma wote/wauzaji wote pia wanunuzi msisahau kudai risiti..!!!
wapi nidai na wapi nisidai risiti?