Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,274
- 62,459
Hii kitimoto yangu nilioiagiza, hauli mpaka uchangie kachumbari.Sichangii kitu!
Ata kachumbari ya 500?Vipi kama hana pesa ya kumuwezesha kuchangia chochote?
Ndivyo inavyotakiwa, halafu ambao hawachangii sasa wanakuwa waongeaji kweli kweli, mambo ya simba na yanga.Niliwahi kuwa na kampani fulani ya watoto wa kishua tupu.
Kuna siku tukatoka out mtu kama 12 hivi.
Nilifurahi muda ya malipo, kila alieshiriki anachangia, hata kama una hela ndogo wewe changia.
kachumbari nitakuja nayo!😎Hii kitimoto yangu nilioiagiza, hauli mpaka uchangie kachumbari.
Muhimu kuchangia ata kachumbari ya 500Wengine vitengo vyao vya story mtoko usipooze
Kwahiyo cheza na kitengo chako vizuri
Keep change 😂Muhimu kuchangia ata kachumbari ya 500
Hapo na nauli umemlipia kabisa ya kuja na kurudi!Hii kitimoto yangu nilioiagiza, hauli mpaka uchangie kachumbari.
nitoe mwaya nichangie kuita muhudumu 😀😀Wakuu,
Inabidi kubadilika; kutolewa mtoko wa kwenda sehemu fulani si kupeleka mdomo na tumbo tu, bali pambana ata uchangie kachumbari.
Hii itakujengea heshima na kukuonyesha wewe ni mtu wa kujali na kuthamini.
Hata utelezi tu?Sichangii kitu!
Mawazo mazuri ila inategemea unatoka na nani, Mazingira gani, Na mtoko una maana ganiWakuu,
Inabidi kubadilika; kutolewa mtoko wa kwenda sehemu fulani si kupeleka mdomo na tumbo tu, bali pambana ata uchangie kachumbari.
Hii itakujengea heshima na kukuonyesha wewe ni mtu wa kujali na kuthamini.