Ukitaka kuoa zingatia yafuatayo

Kunaa manzi yangu amenilazimisha sana nijiunge huko ila wapi naona kuna malaika ananiambia kabisa ukiingia tiktok mimi na wewe basi
Tiktok haina shida na katika mtandao wenye solutions za mambo tofauti tofauti tena kwa videos ni tiktok

Hadi sasa tofauti na JF utanikuta tiktok
 
Sasa mbona mama yako na dada zako waliolewa??
 
Tiktok haina shida na katika mtandao wenye solutions za mambo tofauti tofauti tena kwa videos ni tiktok

Hadi sasa tofauti na JF utanikuta tiktok
Hivi Brooh, kwani tiktok ina shida gani? Mie naona watumiaji ndo tatizo.
Kwangu binafsi. Tiktok naona km YouTube tyuuh
 
Unataka uoe malaika?
 
Hiyo point namba 4 imefanya ndoa nyingi sana kuwa taabani.
Uliza wanaume ambao wameoa wanawake ambao kwao kuna nafuu usikie balaa.

Mwanamke ili awe anatawalika,lazima umzidi vitu kadhaa,sio kwa bahati mbaya au kidogo bali ni kwa tofauti kubwa.
Umri,elimu,uchumi.

Mali unayoipata kutoka kwao inatakiaa iwe yeye tu,sio unapigia mahesabu na ng'ombe zao,zitakutokea puani,kaza kiuno tafuta vitu vyako,kuna ifahari fulani kwenda kwao ukiwa msemaji,japo sio lazima uwe wa mwisho ila una sauti.
 
Namba 4 na namba 7 zinanitesa sana ila nimeshamsoma vizuri hanisumbui. Piga block kila kona hadi aelewe somo
 
Unataka uoe malaika?
Hapana simaanishi malaika naamanisha Mwanamke mwenye mapungufu yanayoweza kuvumilika na kurekebishika.
Wanawake wenye tabia/lifestyle tajwa hapo juu Ni Ngumu kuvumilika na kurekebishika
 
Simaanishi vya nyumbani kwao viwe msaada Kwako naamanisha kwao kukiwa na unafuu itakupunguzia mzigo Kwako wa kuwa tegemezi wa moja kwa moja.

Pia kuhusu kukusaidia simaanishi Pesa/mali naamanisha connection
 
Hivi Brooh, kwani tiktok ina shida gani? Mie naona watumiaji ndo tatizo.
Kwangu binafsi. Tiktok naona km YouTube tyuuh

Braza ni kama ulivyosema tiktok haina shida bali watumiaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…