Ukitaka kuoa zingatia yafuatayo

Msijali dada zetu kila mtu kaumbiwa wa kwake wa kuolewa nae,,Hzo tabia zote zilizotajwa kuna mtu ukiangalia tu mtaendana hvohvo,,ndo mana single maza wa watoto watatu anaolewa na single father wa watoto wa4,,mwenye nyimbo za singel anaolew na DJ au msimamiz wa night club,,
"you are the missing piece to someone's puzzle"
 
😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…