Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,389
Hehehee ndo nachokupendea my kidali po
Hahahaha hilo tu hubbypti wangu. Yani hutojuta kumuacha bi mkubwa Khantwe
Last edited by a moderator:
Hehehee ndo nachokupendea my kidali po
Hehehehe wanawake wengine mmeshindikana kiama. Bi mkubwa si ushaachwa jamani, eti ooh nipe hela hehehehehe, akupe mumeo huyo??. Ntuzu mpe mwenzio hela, mambo ya kumsifia oooh baby napenda kipilipili chako kumbe unabania hela ya brazilian, ushindweeeee
Heee haka kaboya kametokea wapi tena..?
Nahisi kama nimeshukiwa na roho mtakatifu huku nikinena kwa lugha,kumbe penzi lako
kwa kumuonyesha mapenzi
Viol wewe unataka niseme hapa niharibu mambo?Ukitaka kumkamata panya weka mtego uweke mkate.
Ukitaka kumkamata mbwa tumia mfupa.
Ukitaka kumkamata samaki tumia ndoana.
Ukitaka kumkamata mwanaume tumia mwanamke.
Je ukitaka kumkamata mwanamke utumie nini?