Ukitaka kupata mke bora kuwa kwanza mume bora

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Kumekuwa na kasumba fulani hivi kwa wanaume wengi wakiwa wanatoa vigezo vyao vya aina ya mwanamke wanahitaji kuwa mke, lakini my frendi mwanaume ukitaka kupata mke bora lazima ujitazame wewe je ni mume bora?

Sio wewe unataka mwanamke alishika imani ya dini aende Kanisani au Msikitini, lakini wewe hujawahi kwenda kabisa na hauna huo mpango!

So jitazame kwanza wewe kuwa mume bora ndipo sasa uanze kufikiria kupata mke bora
 
Kwa hiyo tuoe kwanza kwa majaribio kisha ndo tuoe wa kuishi daima? Hakuna fundi kwenye ndoa maana ndoa ya fulani haiwezi hata kufanana na yangu,na tunaishi mala moja,tusipangiane.
 
giga-chad-cat-v0-2x5vwkun14xb1.jpg
 
Kumekuwa na kasumba fulani hivi kwa wanaume wengi wakiwa wanatoa vigezo vyao vya aina ya mwanamke wanahitaji kuwa mke, lakini my frendi mwanaume ukitaka kupata mke bora lazima ujitazame wewe je ni mume bora?

Sio wewe unataka mwanamke alishika imani ya dini aende Kanisani au Msikitini, lakini wewe hujawahi kwenda kabisa na hauna huo mpango!

So jitazame kwanza wewe kuwa mume bora ndipo sasa uanze kufikiria kupata mke bora
Hakuna mwalimu wa maisha, sote tunaishi mara moja tu. Leta ushahidi wa maisha yako yalopita na experience ya ndoa yako, kama huna futa uzi.
 
Back
Top Bottom