min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 60,706
- 175,644
Janja mbona hana shida ? Mda mwingine ni utani tu , mimi nimeignore kibao ila mwisho wa siku nilikugundua ni ego za kijinga tu nikawatoa 😁Ya ku mu attack mtu binafsi yaan haiwezekani kuchangia bila ku mu attack mtu 😀😀 ama kweli
Sema nini kuna watu hua kama mwezi mchanga ni ku ignore huko