Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 14,912
- 28,655
Ukichukulia kitu personal utaishia kupata cha kukufurahisha tu na sio cha kuku challenge ShesRise_1Janja mbona hana shida ? Mda mwingine ni utani tu , mimi nimeignore kibao ila mwisho wa siku nilikugundua ni ego za kijinga tu nikawatoa š