ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,748
- 42,218
- Thread starter
- #261
Una mpango gani leo na mbavu zangu kaka mie hoi🤣🤣🤣Sometimes naloa yani, ndo shida 😛
Ndio upiemugi pia unajua kuna wakati unakutana na malaika hata hujui then ukiangalia kwa makini ndio unagundua kumbe huyu ni Rafaeli au Gabrieli au Fanueli
Huyo malaika ni wewe ?
Kati ya hao watatu wewe yupi ni Rafael au Gabriel 😀😀