de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 11,367
- 22,554
Yes,Unajua maana ya kiapo?
Yes,Unajua maana ya kiapo?
Yeah umeniwahi , hakuna siri zaidi ya ego tuHakuna siri, ni kujidanganya mwenyewe tu. Huku ukiogopa kuwa ego na u mimi utakufa wengine wakijua dark side yako.
Umeshaona mti umejificha? Tunajificha ili tu survive na sio ku thrive.
Simba humnyatia swala ila apate kitoweo, Swala hukimbia ili kulinda maisha yake.
We ukiambiwa siri ni kama umetumwa?
Unajua madhara yake lakini kua njiwa mpeleka salamu?
formula yangu hioMany of us we are not aware with this fact, very sad.
Aisee 😂😂🙌"siri" "siri" "siri" kifungo cha mwili, nafsi na akili.
Anyways nishavuka hukoo
Kosa ni kusema hii ni siri lol 😆Usithubutu kumwambia mtu kuwa hili ni siri, ndo ataenda kutangaza kila kona.
Nasikitika mimi nimechelewa ku apply,imenitafuna sana kutokuwa msiri.formula yangu hio
Kwanini unasema Siri ni egoYeah umeniwahi , hakuna siri zaidi ya ego tu
Ukisema hivo lazima uumie tuuuuuuuuKosa ni kusema hii ni siri lol 😆
Sawa sawa👍Yeah umeniwahi , hakuna siri zaidi ya ego tu
Privacy is a power, wafundishe ata wanaoNasikitika mimi nimechelewa ku apply,imenitafuna sana kutokuwa msiri.
Sasa sisi wamatumbi tuna nini cha kudai ni siri?Kwanini unasema Siri ni ego
Bora ww mkuu we on the same levelYeah umeniwahi , hakuna siri zaidi ya ego tu
i need a reason niko hapa kujifunzaSasa sisi wamatumbi tuna nini cha kudai ni siri?
Ili uonekane huna ego inabidi ujianike 😆Kwanini unasema Siri ni ego
GoodIli uonekane huna ego inabidi ujianike 😆
Wanaosema hivyo wanatumia I'd fake 🙌
Hakuna cha siri bwashee, hakuna mchongo utaufanya iwe siri maisha yetu yanategemeana vibaya mno, ego tuBora ww mkuu we on the same level
Unajua mzee kuna issue huwa naona kwa watu na jamii kwa ujumla hawaishi wao, zinaishi ego hasa huyu ShesRise_1
Na unajua maisha ni fumbo ambalo linahitaji uwe uchi(usiwe msiri) ili uweze kulitatua.
Hapo kuelewa sasa ndo mtihani😂
Faragha inaweza isiwe siri.Hebu mueleweshe Platinum 🤗