Ukisikia neno siri unaelewa nini?

Ukisikia neno siri unaelewa nini?

Bora ww mkuu we on the same level

Unajua mzee kuna issue huwa naona kwa watu na jamii kwa ujumla hawaishi wao, zinaishi ego hasa huyu ShesRise_1

Na unajua maisha ni fumbo ambalo linahitaji uwe uchi(usiwe msiri) ili uweze kulitatua.

Hapo kuelewa sasa ndo mtihani😂
Unaweza kuchangia mada bila ku m attack mtu ?
Naomba usiniharibie uzi kwa hizo sukari zako tafadhari sana 🙌🙌🙌

Nyongeza : sio lazima tufanane kama mada hailbariki pita hivi🫴

Narudia usiniharibie uzi kwa battle za kipuuzi🙏🙏🙏
 
Faragha inaweza isiwe siri.
Ukienda gesti na mwanamke, mtu wa mapokezi anakuwa anajua/kuelekea kuelekea kujua unachokwenda kufanya, ila utakuwa na faragha sababu upo chumbani. Hakuna siri pale kuna faragha.
Wow umeeleza vyema Red black
Mfano mwingine, ukienda ATM ukakuta watu pale nje wapo kwenye foleni, wale wanajua unakwenda kutoa hela, ila kitendo cha kutoa hela kikawa cha faragha.
👏👏👏
Siri ni pale hakuna mtu anajua au hata kubashiri kitendo kilichotokea. Ndio maana utaambiwa hakuna siri ya watu wawili.
Umesema vizuri platinum 🤝
 
Unaweza kuchangia mada bila ku m attack mtu ?
Naomba usiniharibie uzi kwa hizo sukari zako tafadhari sana 🙌🙌🙌

Nyongeza : sio lazima tufanane kama mada hailbariki pita hivi🫴

Narudia usiniharibie uzi kwa battle za kipuuzi🙏🙏🙏
Nothing serious, wewe ndo muhusika wa mada I have no obligation ku ku tag! Au wewe sio msiri tena?

Nachangia na hakuna kitu utafanya. Nitapinga na kumtagg mtu yoyote kama sijamdhihaki it's okay
 
"Privacy is the right to control your personal boundaries and what information is shared with others, rooted in respect and dignity. Secrecy is the deliberate concealment of information—often driven by fear or shame—because you know it could harm a relationship or alter how others perceive you"

Watu wengi siri mnaweka bayana na bayana mnaficha, ndio maana ni rahisi siri zenu kujulikana. 😊
 
Nothing serious, wewe ndo muhusika wa mada I have no obligation ku ku tag! Au wewe sio msiri tena?

Nachangia na hakuna kitu utafanya. Nitapinga na kumtagg mtu yoyote kama sijamdhihaki it's okay
Nakuunga mkono kwa nguvu sana, mawazo tofauti muhimu wamatumbi wengi wanataka democracy wakati moyoni ni madikteta
 
"Privacy is the right to control your personal boundaries and what information is shared with others, rooted in respect and dignity. Secrecy is the deliberate concealment of information—often driven by fear or shame—because you know it could harm a relationship or alter how others perceive you"

Watu wengi siri mnaweka bayana na bayana mnaficha, ndio maana ni rahisi siri zenu kujulikana. 😊
Thank you 😊
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom