ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,754
- 42,241
- Thread starter
- #121
Shenziii 😅😅Wewe😂😂
Shenziii 😅😅Wewe😂😂
Nashukuru 🤣🤣🤣Shenziii 😅😅
Mm ntakupa dau kubwa kidogo, ila another favor nataka usiku uwe unanipa massage nilale
Niamini siwezi kama kuna dili nipeHha
Hahahaaaaa utayabwaga hapa masiri yoteeee thubutu
Sema maisha ni magumu sana kuishi na wananzengo mkuu havitaki liberation vi binadamu😂Hakana hoja ila kanajitutumua kama kuku kishingo
Kosa jingine ilo unaongeza 🤣🤣🤣Shenziii 😅😅
Bwashee dalili za kuitoa ni kutujulisha hapa kuwa unayo siriKuna siri za kuzikaa nazo, ukizitoa tu unaweza kuisambaratisha familia, ninayo moja..Mungu anisamehe ila sitamwambia awaye yoyote.
Subiri kwanza tumalize kuwafurusha mboga mboga 😊Nashukuru 🤣🤣🤣
Yeah naelewa sana bwashee, ila kaja kichuma mboga na mimi nitampa pigo za huo huo mkao wake, bwashee.Sema maisha ni magumu sana kuishi na wananzengo mkuu havitaki liberation vi binadamu😂
Aaah wapi, nimesema tu kwa uchache ila sitamwambia yoyote, hata humu siji kusema.Bwashee dalili za kuitoa ni kutujulisha hapa kuwa unayo siri
Ona sasa si umenichokoza mwenyewe 😅Kosa jingine ilo unaongeza 🤣🤣🤣
Mboga mboga bado tupo sanaSubiri kwanza tumalize kuwafurusa mboga mboga 😊
Kama wale watoto sema maa niseme😅Aaah wapi, nimesema tu kwa uchache ila sitamwambia yoyote, hata humu siji kusema.
Yes babu usilete maafa 🤝Kuna siri za kuzikwa nazo, ukizitoa tu unaweza kuisambaratisha familia, ninayo moja..Mungu anisamehe ila sitamwambia awaye yoyote.
😂 😂 nakumini bsnaaa,ila nakutaniaNiamini siwezi kama kuna dili nipe
Unaikumbuka stories ya mfalme ana masikio marefu kama ya punda?Yes babu usilete maafa 🤝
So wewe ni kijanii ila bado upo timamu 😅 haya basi tulete huyo mtoto mchumba😅😅Mboga mboga bado tupo sana
Sema wajinga wachache wanachafua chama chetu wahuni aliokua anasema Polepole
Acha basi 😅😅Unaikumbuka stories ya mfalme ana masikio marefu kama ya punda?
🤗🤗😂 😂 nakumini bsnaaa,ila nakutania