intelligence quotient
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 218
- 266
Anaruhusiwa kuokoka, na huenda akawa mwema kuliko alivyo kuwa mwanzo.Kwani mtu haruhusiwi kuokoka??

Swali zuri kabisa:
1. Pole pole alikuwa na wadhifa ndani ya serikali ya mwendazake kama mkuu wa Wilaya ya Ubungo. Pia mkuu wa wilaya ndo mwenyekiti wa Kamati ya siasa na ulinzi ndani ya chama na serikali. Hivyo alikuwa mshirika mkuu.
2. Pole pole hakuwa na wadhifa serikalini, lakini kwa kuwa mfumo tulionao ni mfumo wa chama na serikali. Hivyo kuwa yeye ndani ya chama ngazi ya juu ambaye walihudhuria vikao vyote vya maamuzi ya chama ni wazi kuwa alikuwa mshirika mkubwa sana kwenye serikali ya mwendazake.
3. Msemaji wa chama ni cheo kinachokupa mamalaka ya kukemea maovu hadharani na chumbani yanayofanywa na serikali ambayo hayaendani na msimamo wa chama. Maana yake akiwa msemaji wa chama hatukuwahi kusikia akikemea maovu ya serikali ya mwendazake kwa kuwa naye alikuwa sehemu yao na mshirika mkuu.
4. Vile vile kuwa ndani ya serikali kwa takribani miaka 4 ya utawala wa sasa ni dhahiri kuwa maovu yote yaliyofanywa ndani ya utawala huu na yeye ni sehemu ya hayo maovu. Na kwa kuwa chama na serikali ni kitu kimoja kwa mfumo wa ki CCM ni dhahiri kuwa alikuwa mshirika mkuu wa chama. Kwa nini apige kelele wakati wa mbio za kuchagua na siyo kabla???
Hata mm limenishangaza ..sie watanzania ni wajinga na wepesi kudanganywa ...mara hii washasahau lowasa alichowafanyaSarakasi za polepole tumeziona.
Hebu tujikumbushe kidogo ni nani aliyetengeneza precedence ya uchafu wote huu unaolalamikiwa na Polepole????
1. Nani aliyeacha precedence ya kuteka, kupoteza, kutesa na kuua watu wanaokosoa watawala???
2. Nani aliyeanzisha upuuzi huu wa kuvuruga chaguzi kuanzia 2019, 2020, 2024 .....
3. Nani aliyeanzisha utawala wa kidikteta ndani ya chama na ndani ya serikali?
4. Nani aliyeanzisha uminywaji wa Demokrasia hadi kufikia vyama kuzuiwa kufanya siasa?
5. Nani aliyeasisi utaratibu wa fomu moja ndani ya chama?
6. Nani aliyeasisi utaratibu wa uchawa na ukunguni na kutaka yeye tu asifiwe ndani ya chama, serikali na nchi kwa ujumla?
7. Nani aliyessisi uminywaji wa uhuru wa vyombo vya habari, uhuru wa watu kujieleza, uvunjwaji wa haki za watu nk.??
8. Nani asiyeasisi uvurugwaji wa mifumo ya kitaasisi (Serikali, Bunge, mahakama) kwa kuingilia na muhimili uliojichimbia???
9. Na mengine mengi.
Mambo haya yote yalifanyika Ponjoro Polepole akiwa kwenye inner cycle na msemaji wa chama.
Swali: mbona hayo yote yalifanyika akiwa mjumbe wa vikao vyote vya chama na pia msemaji wa chama lakini hatukusikia akilalamika au kukemea maovu yote yale????
Iweje leo Ponjoro Polepole aonekane Shujaa na mzalendo wa kweli ili hali ni mmoja wa waasisi wa mambo yote ya kishenzi niliyoyataja hapo juu!!!!!!
Au ndo kusema kuwa Taifa hili limejaa watu wajinga kwa zaidi ya 90%.??? Kwamba unaweza ukatengeneza tatizo au kuwa sehemu ya tatizo lakini watanzania wale wale ukiwajia kwa mlango wa nyuma wanakushangilia kama mazuzu. Vilee!!!
Kwa ujinga huu itatuchukua miaka zaidi ya 200 kuuondoa ujinga na umasikini wa kifikra. Taifa limejaa wajinga na wapumbavu wengi sana.
Sitashangaa akifanya mwanaccm mwingine sarakasi za polepole tukaendelea kurukaruka kama mazuzu. Nimeona hata wapinzani wanashangilia kweli kweli na kumwona Polepole shujaa wao.
Ama kweli unyani bado umetukaaa.
wew bhana wewe kyuba njaa sana? kwamba kule kamba haifikiKamba haikuwa ndefu na pia walimchoka kila siku anaomba alete wakyuba bongo kwa msaada wa ufadhili wa Tanzania kuja kufundisha au kutibu, kwa gharama za bongo......
Kyuba ni choka mbovu ile mbaya, hata Bangladeshi inaafadhali....
Mko wachache sana wenye huu upeoSitashangaa akifanya mwanaccm mwingine sarakasi za polepole tukaendelea kurukaruka kama mazuzu. Nimeona hata wapinzani wanashangilia kweli kweli na kumwona Polepole shujaa wao.🥺🥺🥺
Kwenye nchi hizi zetu masikini zilizokithiri ufisadi, ulafi, matabaka na ujanja ujanja mwingi, hakuna namna utafanikiwa kuongoza kwa kutumia demokrasia.Kwa hiyo utawala wa kupiga watu Risasi hadharani na wengine kuwaua gizani na wengine kuwapoteza kabisa wasijulikane walipo na wengine kuwatesa na kuwabambikia kesi mbaya ilikuwa ni udikiteta wa kuleta discipline????
Kwa kuwa na mtawala wa sasa hivi anafanya yale yale kwa nini usiseme naye udikiteta wake ni wa kuleta discipline serikalini????
Wakati haya yanatokea Polepole alikuwa hana cheo chochote CCM wala Serikalini!!!Hoja yako ni nini hasa.
1. Je, polepole alikuwa nje ya mfumo wakati hayo yote yanafanyika au alikuwa amelala ndo kaamuka?
2. Je, maovu yote hayo yaliyofanywa na mfumo wa ki-CCM kurudi nyuma ni sahihi kwako na kwamba ni vitu vya kawaida??
3. Je, unaungana na mama yako, huwa kuteka, kutesa, kuua na kuumiza wanaompinga ni mambo ya kawaida na kwamba vifo hivyo ni vya kawaida?????
abracadabra za POLEPOLE, ni HARAKAHARAKASarakasi za polepole tumeziona.
Hebu tujikumbushe kidogo ni nani aliyetengeneza precedence ya uchafu wote huu unaolalamikiwa na Polepole????
1. Nani aliyeacha precedence ya kuteka, kupoteza, kutesa na kuua watu wanaokosoa watawala???
2. Nani aliyeanzisha upuuzi huu wa kuvuruga chaguzi kuanzia 2019, 2020, 2024 .....
3. Nani aliyeanzisha utawala wa kidikteta ndani ya chama na ndani ya serikali?
4. Nani aliyeanzisha uminywaji wa Demokrasia hadi kufikia vyama kuzuiwa kufanya siasa?
5. Nani aliyeasisi utaratibu wa fomu moja ndani ya chama?
6. Nani aliyeasisi utaratibu wa uchawa na ukunguni na kutaka yeye tu asifiwe ndani ya chama, serikali na nchi kwa ujumla?
7. Nani aliyessisi uminywaji wa uhuru wa vyombo vya habari, uhuru wa watu kujieleza, uvunjwaji wa haki za watu nk.??
8. Nani asiyeasisi uvurugwaji wa mifumo ya kitaasisi (Serikali, Bunge, mahakama) kwa kuingilia na muhimili uliojichimbia???
9. Na mengine mengi.
Mambo haya yote yalifanyika Ponjoro Polepole akiwa kwenye inner cycle na msemaji wa chama.
Swali: mbona hayo yote yalifanyika akiwa mjumbe wa vikao vyote vya chama na pia msemaji wa chama lakini hatukusikia akilalamika au kukemea maovu yote yale????
Iweje leo Ponjoro Polepole aonekane Shujaa na mzalendo wa kweli ili hali ni mmoja wa waasisi wa mambo yote ya kishenzi niliyoyataja hapo juu!!!!!!
Au ndo kusema kuwa Taifa hili limejaa watu wajinga kwa zaidi ya 90%.??? Kwamba unaweza ukatengeneza tatizo au kuwa sehemu ya tatizo lakini watanzania wale wale ukiwajia kwa mlango wa nyuma wanakushangilia kama mazuzu. Vilee!!!
Kwa ujinga huu itatuchukua miaka zaidi ya 200 kuuondoa ujinga na umasikini wa kifikra. Taifa limejaa wajinga na wapumbavu wengi sana.
Sitashangaa akifanya mwanaccm mwingine sarakasi za polepole tukaendelea kurukaruka kama mazuzu. Nimeona hata wapinzani wanashangilia kweli kweli na kumwona Polepole shujaa wao.
Ama kweli unyani bado umetukaaa.
Polepole na Bashiru Ally ni mojawapo wa watu walioshirikiana na Magufuli kuinajisi demokrasia hapa nchini, wawili hawa ndiyo walikuwa madalali wa kununua wapinzani uchwara na walitajirika sana kwenye projrct hii haramu, hivyo huyu ni mhuni kama wahuni wengine tu wa CCM.Sitashangaa akifanya mwanaccm mwingine sarakasi za polepole tukaendelea kurukaruka kama mazuzu. Nimeona hata wapinzani wanashangilia kweli kweli na kumwona Polepole shujaa wao.🥺🥺🥺
Ndio za wazee wa zamani, kila kitu usalama wa taifa hata wauza kahawa walikuwa wanaitwa usalama wa taifa.....Alikuwa compromised!
Ngoja tukupe somo kidogo.Kwenye nchi hizi zetu masikini zilizokithiri ufisadi, ulafi, matabaka na ujanja ujanja mwingi, hakuna namna utafanikiwa kuongoza kwa kutumia demokrasia.
Ukiwa kiongozi sahihi na mwenye maono utalazimika tu kutumia udikteta ili kunyoosha mambo.
Ndiyo maana pamoja na risasi zake wananchi bado walimkubali JPM na wanammiss sana.
Hawa na mwendazake ndo walituletea terminologies hizi;Polepole na Bashiru Ally ni mojawapo wa watu walioshirikiana na Magufuli kuinajisi demokrasia hapa nchini, wawili hawa ndiyo walikuwa madalali wa kununua wapinzani uchwara na walitajirika sana kwenye projrct hii haramu, hivyo huyu ni mhuni kama wahuni wengine tu wa CCM.
abracadabra za POLEPOLE, ni HARAKAHARAKA
View: https://youtu.be/HK4ZQBXg6Xw?t=18
View: https://youtu.be/HK4ZQBXg6Xw?t=123
CCM ni chama chenye resilience ya hali ya juu, humfrey anaenda kuteseka sana, na vyama pinzani havimtaki maana alivifanyia ushirikina sana akiwa awamu ya 5NALUDIA TENA CCM NI ILE ILE NA WATU NI WALEWALE..INGEKUWA HAO WOTE WANAYASEMA MANENO WANATAFUTA CHAMA CHAO BASI TUNGEWAJADILI KIVINGINE...HAPA CHAKUJIFUNZA NI CCM INATENGENEZA TATIZO HALAFU INAKUJA KUTATUA KIVINGINE.
ushauri kwake aachane na siasa kutokufanya hvo ni utapeli wa kisiasa.CCM ni chama chenye resilience ya hali ya juu, humfrey anaenda kuteseka sana, na vyama pinzani havimtaki maana alivifanyia ushirikina sana akiwa awamu ya 5
Watasema siasa haina adui wa kudumu. Lowasa alikuja na kuzungusha mikono eti ndo mabadiliko na baadae akatuacha akarudi zake .CCM ni chama chenye resilience ya hali ya juu, humfrey anaenda kuteseka sana, na vyama pinzani havimtaki maana alivifanyia ushirikina sana akiwa awamu ya 5
2 Wakorintho 5:17Sarakasi za polepole tumeziona.